title : WAZIRI MHAGAMA AKABIDHIWA VIFAA VYA WATU WENYE ULEMAVU CHUO CHA UFUNDI CHA YOMBO IKIWA NI MSAADA KUTOKA SERIKALI YA KUWEIT
kiungo : WAZIRI MHAGAMA AKABIDHIWA VIFAA VYA WATU WENYE ULEMAVU CHUO CHA UFUNDI CHA YOMBO IKIWA NI MSAADA KUTOKA SERIKALI YA KUWEIT
WAZIRI MHAGAMA AKABIDHIWA VIFAA VYA WATU WENYE ULEMAVU CHUO CHA UFUNDI CHA YOMBO IKIWA NI MSAADA KUTOKA SERIKALI YA KUWEIT
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (katikati) akizungumza katika hafla fupi ya kukabidhi vifaa mbalimbali vya watu wenye ulemavu katika Chuo Cha Ufundi Cha Yombo kinachotoa mafunzo kwa Walemavu, Dar es Salaam jana , kulia ni Balozi wa Kuweit nchini Tanzania, Jasem Al-Najem.
Balozi wa Kuwait nchini, Jasem Al-Najem akizungumza jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (wa kwanza kushoto), wakati mmoja wa mwanafunzi wa Chuo hicho, Lenah Sauli alipokua akishona nguo
Mkufunzi Mkuu Msaidizi Regina Makotha (kulia) akizungumza kwa kuwapa ishara yale aliyokuwa akizungumza Waziri Mhagama
Wanafunzi wa Chuo Cha Ufundi Cha Yombo kinachotoa mafunzo kwa Walemavu wakiashiria kupiga makofi wakati walipokuwa wakipewa ishara na Mwalimu wao, Mkufunzi Mkuu Msaidizi Regina Makotha (pichani hayupo) Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama alipokuwa akizungumza nao.
Hivyo makala WAZIRI MHAGAMA AKABIDHIWA VIFAA VYA WATU WENYE ULEMAVU CHUO CHA UFUNDI CHA YOMBO IKIWA NI MSAADA KUTOKA SERIKALI YA KUWEIT
yaani makala yote WAZIRI MHAGAMA AKABIDHIWA VIFAA VYA WATU WENYE ULEMAVU CHUO CHA UFUNDI CHA YOMBO IKIWA NI MSAADA KUTOKA SERIKALI YA KUWEIT Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MHAGAMA AKABIDHIWA VIFAA VYA WATU WENYE ULEMAVU CHUO CHA UFUNDI CHA YOMBO IKIWA NI MSAADA KUTOKA SERIKALI YA KUWEIT mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/waziri-mhagama-akabidhiwa-vifaa-vya.html
0 Response to "WAZIRI MHAGAMA AKABIDHIWA VIFAA VYA WATU WENYE ULEMAVU CHUO CHA UFUNDI CHA YOMBO IKIWA NI MSAADA KUTOKA SERIKALI YA KUWEIT"
Post a Comment