title : BREAKING NEWS :HANS POPPE AREJEA SIMBA, NI BAADA YA KUMALIZANA NA UONGOZI
kiungo : BREAKING NEWS :HANS POPPE AREJEA SIMBA, NI BAADA YA KUMALIZANA NA UONGOZI
BREAKING NEWS :HANS POPPE AREJEA SIMBA, NI BAADA YA KUMALIZANA NA UONGOZI
MwambawahabariZacharia Hans Poppe, amereja Simba.
Uamuzi wa Hans Poppe kurejea Simba umetokana na mkutano uliofanyika hadi saa 9 usiku wa kuamkia leo.
Hans Poppe amethibitisha kurejea kwake kundini baada ya mkutano huo na viongozi.
Hans Poppe aliamua kujiondoa katika kamati ya utendaji ya Simba na akawa akawa ametoka kwenye kamati ya usajili aliyokuwa mwenyekiti.
Lakini kikao hicho hadi saa 9 alfajiri usiku wa kuamkia leo, kimemaliza suala hilo na Hans Poppe ameamua kurejea.
“Kweli tumekutana hadi saa 9 usiku, mwisho tumekubaliana na tumeyamaliza vizuri. Huu ni wakati wa kusonga mbele,” alisema Hans Poppe.
Hivyo makala BREAKING NEWS :HANS POPPE AREJEA SIMBA, NI BAADA YA KUMALIZANA NA UONGOZI
yaani makala yote BREAKING NEWS :HANS POPPE AREJEA SIMBA, NI BAADA YA KUMALIZANA NA UONGOZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWS :HANS POPPE AREJEA SIMBA, NI BAADA YA KUMALIZANA NA UONGOZI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/breaking-news-hans-poppe-arejea-simba.html
0 Response to "BREAKING NEWS :HANS POPPE AREJEA SIMBA, NI BAADA YA KUMALIZANA NA UONGOZI"
Post a Comment