DC Happy Atishia Kufuta Leseni za Wamiliki wa Hoteli

DC Happy Atishia Kufuta Leseni za Wamiliki wa Hoteli - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC Happy Atishia Kufuta Leseni za Wamiliki wa Hoteli, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC Happy Atishia Kufuta Leseni za Wamiliki wa Hoteli
kiungo : DC Happy Atishia Kufuta Leseni za Wamiliki wa Hoteli

soma pia


DC Happy Atishia Kufuta Leseni za Wamiliki wa Hoteli

Mwambawahabari 

Mkuu wa Wilaya ya Kinondini, Ally Hapi amesema atawafutia leseni wamiliki wa hoteli na kampuni binafsi ambao hawajatoa mikataba ya ajira kwa wafanyakazi wao.

Aliwabana wamiliki hao jana alipokuwa katika ziara wilayani humo na kutembelea baadhi ya hoteli na kampuni binafsi kwa lengo la kuzungumza na wafanyakazi.

Awali, wafanyakazi walilalamikia mazingira magumu ya kazi ikiwamo mishahara duni na kufanya kazi bila mikataba.

Mmoja kati ya wafanyakazi 23 wa Hoteli ya Tangren iliyopo Mikocheni, Lilian Semtanda alisema licha ya kufanya kazi kwa miaka mitano, hajapatiwa mkataba huku akinyimwa stahiki ikiwamo likizo na matibabu.

Hata hivyo, mmiliki wa hoteli hiyo, Liu Dengwei alikiri kutotoa mikataba tangu waanze mwaka 2008 lakini wameanza utekelezaji wiki hii.


Hivyo makala DC Happy Atishia Kufuta Leseni za Wamiliki wa Hoteli

yaani makala yote DC Happy Atishia Kufuta Leseni za Wamiliki wa Hoteli Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC Happy Atishia Kufuta Leseni za Wamiliki wa Hoteli mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/dc-happy-atishia-kufuta-leseni-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC Happy Atishia Kufuta Leseni za Wamiliki wa Hoteli"

Post a Comment