BALOZI ASHA-ROSE MIGIRO AWATEMBELEA WANADIASPORA READING

BALOZI ASHA-ROSE MIGIRO AWATEMBELEA WANADIASPORA READING - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BALOZI ASHA-ROSE MIGIRO AWATEMBELEA WANADIASPORA READING, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BALOZI ASHA-ROSE MIGIRO AWATEMBELEA WANADIASPORA READING
kiungo : BALOZI ASHA-ROSE MIGIRO AWATEMBELEA WANADIASPORA READING

soma pia


BALOZI ASHA-ROSE MIGIRO AWATEMBELEA WANADIASPORA READING

Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mhe. Asha-Rose Migiro alifanya ziara ya kuwatembelea watanzania waishio Reading na Bekshire tarehe 6/5/2017. Wakati wa ziara hiyo Mhe. Balozi Migiro alipata fursa ya kufanya mkutano na kuwatembelea baadhi ya watanzania hao kwenye maeneo yao ya kazi.
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mhe. Asha-Rose Migiro akiwa pamoja na baadhi ya wana diaspora waishio Reading na Bekshire waliohudhuria mkutano.
 Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mhe. Asha-Rose Migiro akisalimiana na Bw. Daniel Samwenda mmoja wa wamiliki wa kampuni ya McDaan Finance inayojishughulisha na shughuli mbali mbali za kifedha kama kutoa mikopo ya muda mfupi.
 Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mhe. Asha-Rose Migiro akipata maelezo kutoka kwa Bw. Hassan Abdula Mkurugenzi wa Kampuni ya Hill View Family Co. Ltd inayojishughulisha na usafirishaji wa mizigo.


Hivyo makala BALOZI ASHA-ROSE MIGIRO AWATEMBELEA WANADIASPORA READING

yaani makala yote BALOZI ASHA-ROSE MIGIRO AWATEMBELEA WANADIASPORA READING Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI ASHA-ROSE MIGIRO AWATEMBELEA WANADIASPORA READING mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/balozi-asha-rose-migiro-awatembelea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BALOZI ASHA-ROSE MIGIRO AWATEMBELEA WANADIASPORA READING"

Post a Comment