title : KUMBUKUMBU YA MAREHEMU AKANASHE MAKERE
kiungo : KUMBUKUMBU YA MAREHEMU AKANASHE MAKERE
KUMBUKUMBU YA MAREHEMU AKANASHE MAKERE
ILIKUWA NI SEKUNDE, DAKIKA, SAA, WIKI, MWEZI MWAKA NA SASA NI MIAKA MITANO UMETIMIZA TANGU BIBI YETU KIPENZI AKANASHE SHEDRACK MAKERE UTUTOKE GHAFLA TAREHE 08/05/2012 SAA 10 JIONI BILA YA KUTUAGA KUTOKANA NA MARADHI YALIYOKUWA YAKIKUSUMBUA.
UNAKUMBUKWA SANA KWA UCHESHI, UPENDO NA KUWAJALI KILA KIUMBE CHA HAPA DUNIANI. HALIDHALIKA UNAKUMBUKWA SANA NA WANAO, WAJUKUU, VITUKUU, KILEMBWE, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI ZAKO. UMETUACHIA HUZUNI NA PENGO KUBWA KATIKA UKOO.
MWENYEZI MUNGU, MUUMBA WA MBINGU NA NCHI AENDELEE KUKUPA MWANGA NA RAHA YA MILELE HUKO ULIPO KWANI YEYE NDIYE ALIYETOA NA YEYE NDIYE ALIYETWAA. JINA LA BWANA DAIMA LIHIMIDIWE. AMEN!
Hivyo makala KUMBUKUMBU YA MAREHEMU AKANASHE MAKERE
yaani makala yote KUMBUKUMBU YA MAREHEMU AKANASHE MAKERE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KUMBUKUMBU YA MAREHEMU AKANASHE MAKERE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/kumbukumbu-ya-marehemu-akanashe-makere.html
0 Response to "KUMBUKUMBU YA MAREHEMU AKANASHE MAKERE"
Post a Comment