title : SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI PAMOJA NA UJUMBE WA MWENYEKITI WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA NCHINI TANZANIA
kiungo : SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI PAMOJA NA UJUMBE WA MWENYEKITI WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA NCHINI TANZANIA
SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI PAMOJA NA UJUMBE WA MWENYEKITI WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA NCHINI TANZANIA
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akisalimiana na Msajili wa Vyama vya siasa nchini Tanzania, Jaji Francis Mtungi (kulia) aliemtembelea leo Ofisini kwake katika Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akisisitiza jambo mbele ya ujumbe wa Mwenyekiti wa Baraza la vyama vya siasa nchini Tanzania ukiongozwa na Mwenyekiti wa Baraza la vyama vya siasa nchini Tanzania, Mhe. John Shibuda (Kushoto) na kulia ni Msajili wa Vyama vya siasa nchini Tanzania, Jaji Francis Mtungi katika kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake katika Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akimsikiliza Mwenyekiti wa Baraza la vyama vya siasa nchini Tanzania, Mhe. John Shibuda (Kushoto), pale ujumbe wa Mwenyekiti wa Baraza la vyama vya siasa ulipomtembelea leo Ofisini kwake katika Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akimsikiliza Mwenyekiti wa Baraza la vyama vya siasa nchini Tanzania, Mhe. John Shibuda (Kushoto), Msajili wa Vyama vya siasa nchini Tanzania Jaji Francis Mtungi (kulia) pale walipomtembelea na ujumbe wa Mwenyekiti wa Baraza la vyama vya siasa nchini Tanzania, katika kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake katika Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.
Hivyo makala SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI PAMOJA NA UJUMBE WA MWENYEKITI WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA NCHINI TANZANIA
yaani makala yote SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI PAMOJA NA UJUMBE WA MWENYEKITI WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA NCHINI TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI PAMOJA NA UJUMBE WA MWENYEKITI WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA NCHINI TANZANIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/spika-wa-bunge-atembelewa-na-msajili-wa.html
0 Response to "SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI PAMOJA NA UJUMBE WA MWENYEKITI WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA NCHINI TANZANIA"
Post a Comment