Usajili wa Dirisha Dogo Kufungwa Kesho Alhamisi.Hakuna Kuongeza Muda -Katibu ZFA.

Usajili wa Dirisha Dogo Kufungwa Kesho Alhamisi.Hakuna Kuongeza Muda -Katibu ZFA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Usajili wa Dirisha Dogo Kufungwa Kesho Alhamisi.Hakuna Kuongeza Muda -Katibu ZFA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Usajili wa Dirisha Dogo Kufungwa Kesho Alhamisi.Hakuna Kuongeza Muda -Katibu ZFA.
kiungo : Usajili wa Dirisha Dogo Kufungwa Kesho Alhamisi.Hakuna Kuongeza Muda -Katibu ZFA.

soma pia


Usajili wa Dirisha Dogo Kufungwa Kesho Alhamisi.Hakuna Kuongeza Muda -Katibu ZFA.

Na: Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.
Dirisha la uhamisho na usajili rasmi linafungwa kesho Alhamis Agost 17 majira ya saa 6:00 za usiku ambapo Makocha na Viongozi wengine wa Vilabu wamezidi kuwa bize kutafuta wachezaji wanaowahitaji ili kuziboresha timu zao katika msimu mpya wa mwaka 2017-2018.

Akizungumza na Mtandao huu katibu mkuu wa ZFA Mohd Ali Hilali “Tedy” amesema usajili unafungwa kesho Agost 17 na wao ZFA hawatoongeza siku wala muda ukifika wakati uliopangwa zoezi hilo litapigwa kufuli.

“Ni kweli zoezi la uhamisho na usajili linafungwa kesho Alhamis saa 6:00 za usiku na wala hatutarajii kuongeza siku wala saa, muda ukifika zoezi hilo litafungiwa”. Alisema Tedy.

Chama cha Soka Visiwani Zanzibar “ZFA” kilitangaza zoezi la uhamisho na usajili kwa msimu wa mwaka 2017-2018 kufunguliwa July 17, 2017 na kumaliza kesho Agost 17, 2017.

Zoezi hilo ni kwaajili ya Maraja yote kuanzia ligi kuu soka ya Zanzibar, ligi daraja la kwanza Taifa, la Pili Taifa hadi ligi za Madara ya Wilaya.


Hivyo makala Usajili wa Dirisha Dogo Kufungwa Kesho Alhamisi.Hakuna Kuongeza Muda -Katibu ZFA.

yaani makala yote Usajili wa Dirisha Dogo Kufungwa Kesho Alhamisi.Hakuna Kuongeza Muda -Katibu ZFA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Usajili wa Dirisha Dogo Kufungwa Kesho Alhamisi.Hakuna Kuongeza Muda -Katibu ZFA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/usajili-wa-dirisha-dogo-kufungwa-kesho.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Usajili wa Dirisha Dogo Kufungwa Kesho Alhamisi.Hakuna Kuongeza Muda -Katibu ZFA."

Post a Comment