WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA UONGOZI WA SHIVYAWATA - DODOMA

WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA UONGOZI WA SHIVYAWATA - DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA UONGOZI WA SHIVYAWATA - DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA UONGOZI WA SHIVYAWATA - DODOMA
kiungo : WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA UONGOZI WA SHIVYAWATA - DODOMA

soma pia


WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA UONGOZI WA SHIVYAWATA - DODOMA

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akisalimiana na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu Bi. Ummy Nderinanga wakati wa mkutano wao na Waziri huyo ili kujadili utekelezaji wa majukumu uliofanyika Ukumbi wa mikutano wa ofisi hiyo Bungeni Dodoma.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza jambo wakati wa mkutano wake na Viongozi wa SHIVYAWATA kujadili utekelezaji wa majukumu yao katika Ukumbi wa Ofisi yake Bungeni Dodoma Aprili 27, 2017.
 Wajumbe wa mkutano wa uongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu nchini wakifuatilia maelekezo kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama wakati wa kikao chao Mjini Dodoma tarehe 27 Aprili, 2017.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akiendesha mkutano na Viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu walipokutana ofisini kwake Dodoma kujadili utekelezaji wa Majukumu yanayowahusu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa SHIVYAWATA mara baada ya kumaliza mkutano wao, kushoto kwake ni Naibu wake (Kazi, Ajira na Vijana), Mhe. Antony Mavunde.

(PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU - DODOMA)


Hivyo makala WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA UONGOZI WA SHIVYAWATA - DODOMA

yaani makala yote WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA UONGOZI WA SHIVYAWATA - DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA UONGOZI WA SHIVYAWATA - DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/waziri-mhagama-akutana-na-uongozi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA UONGOZI WA SHIVYAWATA - DODOMA"

Post a Comment