MKOA WA DAR ES SALAAM WAANZA KUTOA KINGA YA UGONJWA WA KICHOCHO NA MINYOO,WATOTO 678,000 WANATARAJIWA KUPATIWA KINGA HIYO.

MKOA WA DAR ES SALAAM WAANZA KUTOA KINGA YA UGONJWA WA KICHOCHO NA MINYOO,WATOTO 678,000 WANATARAJIWA KUPATIWA KINGA HIYO. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKOA WA DAR ES SALAAM WAANZA KUTOA KINGA YA UGONJWA WA KICHOCHO NA MINYOO,WATOTO 678,000 WANATARAJIWA KUPATIWA KINGA HIYO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKOA WA DAR ES SALAAM WAANZA KUTOA KINGA YA UGONJWA WA KICHOCHO NA MINYOO,WATOTO 678,000 WANATARAJIWA KUPATIWA KINGA HIYO.
kiungo : MKOA WA DAR ES SALAAM WAANZA KUTOA KINGA YA UGONJWA WA KICHOCHO NA MINYOO,WATOTO 678,000 WANATARAJIWA KUPATIWA KINGA HIYO.

soma pia


MKOA WA DAR ES SALAAM WAANZA KUTOA KINGA YA UGONJWA WA KICHOCHO NA MINYOO,WATOTO 678,000 WANATARAJIWA KUPATIWA KINGA HIYO.





Na. John Luhende 
Mwamba wa habari
Jumla ya watoto  678,000   kutoka shule zamsingi  za serikali na binafsi 708  mkoani Dar es salaam wanatarajiwa kupatiwa kinga   dhidi ya magonjwa ya  Kichocho  na Minyoo ilikuwakinga na madhara ya saratani  ya kibofu  ambayo yanaweza kuwapata  ukubwa ikiwa wataugua magonjwa hayo wakati wa utoto.

Akizungumza katika uzinduzi wa zoezi la utoajidawa kwa watoto hao Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amesema mkoa huo umejipanga kuhakikisha kila mtoto anapewa kingahiyo na kuwataka wazazi na walezi kuwapeleka watoto wao katika vituo vya vyakutolea huduma hiyo ilikuwaepusha na madhara ya magonjwa hayo.

Aidha Makonda amewataka wananchi wa mkoa  wa Dar es salaam kutoingiza masuala ya imani potofu khusu zoezi hilo kwani kinga hiyo itawasaidia watoto hao na taifa kwa kuwa na wananchi wenye afya badala ya kutumia gharamakubwa katika  kutibu magonjwa ya saratani.

Kwa upande wake mganga mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Grace Magembe amesema zoezi hilo halihusishi kuchoma sindandano kamailivyo katika chanjo bali watoto watapewa kumeza vidonge  na amewaka wananchi wa mkoa huo kushiriki kikamilifu zoezihilo  huku akieleza madhara ya magonwa hayo.


Hivyo makala MKOA WA DAR ES SALAAM WAANZA KUTOA KINGA YA UGONJWA WA KICHOCHO NA MINYOO,WATOTO 678,000 WANATARAJIWA KUPATIWA KINGA HIYO.

yaani makala yote MKOA WA DAR ES SALAAM WAANZA KUTOA KINGA YA UGONJWA WA KICHOCHO NA MINYOO,WATOTO 678,000 WANATARAJIWA KUPATIWA KINGA HIYO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKOA WA DAR ES SALAAM WAANZA KUTOA KINGA YA UGONJWA WA KICHOCHO NA MINYOO,WATOTO 678,000 WANATARAJIWA KUPATIWA KINGA HIYO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/mkoa-wa-dar-es-salaam-waanza-kutoa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MKOA WA DAR ES SALAAM WAANZA KUTOA KINGA YA UGONJWA WA KICHOCHO NA MINYOO,WATOTO 678,000 WANATARAJIWA KUPATIWA KINGA HIYO."

Post a Comment