TFDA YAWATAKA WALISHAJI HAPA NCHINI (CATERING) KUJISAJILI

TFDA YAWATAKA WALISHAJI HAPA NCHINI (CATERING) KUJISAJILI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TFDA YAWATAKA WALISHAJI HAPA NCHINI (CATERING) KUJISAJILI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TFDA YAWATAKA WALISHAJI HAPA NCHINI (CATERING) KUJISAJILI
kiungo : TFDA YAWATAKA WALISHAJI HAPA NCHINI (CATERING) KUJISAJILI

soma pia


TFDA YAWATAKA WALISHAJI HAPA NCHINI (CATERING) KUJISAJILI

Na Agness Francis,blogu ya Jamii.
MAMLAKA ya chakula na dawa (TFDA) imesema utoaji wa huduma katika Mikusanyiko lazima uzingatie sheria pamoja kanuni ili kwepusha mad hara kwa walaji wa chakula katika mikusanyiko.

Mkutano huo ulilenga watoa huduma ya chakula kwenye mikusanyiko hapa nchini na kuwataka kujisajili katika mamlaka hiyo na kufuata sheria ya utoaji wa huduma hiyo ikiwemo na mazingira ya uandaji wa Chakula na kufahamu matakwa ya sheria kuhususiana na utoaji huduma hizo kuboresha mifumo ya biashara wa huduma hiyo pamoja na usalama wa chakula kinachotolewa katika mikusanyiko na hivyo kulinda afya ya walaji.

Hayo aliyasema Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Agnes Kijo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wadau wa utoaji wa huduma ya chakula katika Mikusanyiko, amesema kuwa kutokana na mabadiliko ya mtindo wa maisha kumekuwa na ongezeko la uhitaji wa huduma ya chakula katika Misiba, Mikutano,MaofisiHarusi.

Kijo amesema ni muhimu kutambua kuwa utoaji wa huduma ya chakula unapaswa kuzingatia Sheria na kanuni bora za usafiri ili kuhakikisha kuwa chakula kinachoandaliwa ni salama ili kulinda afya ya jamii.

"Uandaaji wa chakuka pasipo kuzingatia matakwa ya sheria na kanuni husababisha uchafuzi wa vimelea vya maradhi na hivyo kuweza kusababisha madhara ya kiafya Kama vile Kuhara,Kuhara Damu,Homa ya Matumbo,pamoja na Kipindupindu"amesema Kijo.
Kusoma zaidi bofya hapa
Kaimu Mkurugenzi Mkuu Agnes Kijo akizungumza wakati akifungua mkutano wa wadau wa watoa huduma ya Chakula Katika Mikusanyiko uliofanyika Jijini Dar es Salaam. 
(Picha na Emmanuel Massaka Globu ya jamii)
Kaimu Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula wa TFDA Justin Makisi akizungumza kuhusiana na madhumuni ya wadau utoaji huduma katika mkusanyiko ,jijini Dar es Salaam. 
Baadhi ya wadau wa watoa huduma ya Chakula katika Mikusanyiko.


Hivyo makala TFDA YAWATAKA WALISHAJI HAPA NCHINI (CATERING) KUJISAJILI

yaani makala yote TFDA YAWATAKA WALISHAJI HAPA NCHINI (CATERING) KUJISAJILI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TFDA YAWATAKA WALISHAJI HAPA NCHINI (CATERING) KUJISAJILI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/tfda-yawataka-walishaji-hapa-nchini.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TFDA YAWATAKA WALISHAJI HAPA NCHINI (CATERING) KUJISAJILI"

Post a Comment