UJUMBE WA KAMPUNI YA “ENGINEERING CUNSULTANTS GROUPS”-ECG

UJUMBE WA KAMPUNI YA “ENGINEERING CUNSULTANTS GROUPS”-ECG - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UJUMBE WA KAMPUNI YA “ENGINEERING CUNSULTANTS GROUPS”-ECG, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UJUMBE WA KAMPUNI YA “ENGINEERING CUNSULTANTS GROUPS”-ECG
kiungo : UJUMBE WA KAMPUNI YA “ENGINEERING CUNSULTANTS GROUPS”-ECG

soma pia


UJUMBE WA KAMPUNI YA “ENGINEERING CUNSULTANTS GROUPS”-ECG

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na mgeni wake Mwenyekiti wa Kampuni ya “Engineering Consultants Groups”-ECG Bw.Amr Hassan Allouba alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo na ujumbe wake .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na mgeni wake Mwenyekiti wa Kampuni ya “Engineering Consultants Groups”-ECG Bw.Amr Hassan Allouba yaliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akifuatana na Mwenyekiti wa Kampuni ya “Engineering Consultants Groups”-ECG Bw.Amr Hassan Allouba (katikati) baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo,(kushoto) Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Misri Balozi Mohamed Haji Hamza.
Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulyahaya Mzee (kushoto) alipokuwa akizungumza na Waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali kuhusu Ripoti ya mkaguzi na Mdhibiti wa fedha za Serikali iliyozungumzia upotevu wa fedha katika Mawizara mbali mbali ambazo zimekuwa zikilipwa kwa makosa,katika ukumbi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.]24/04/2017.


Hivyo makala UJUMBE WA KAMPUNI YA “ENGINEERING CUNSULTANTS GROUPS”-ECG

yaani makala yote UJUMBE WA KAMPUNI YA “ENGINEERING CUNSULTANTS GROUPS”-ECG Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UJUMBE WA KAMPUNI YA “ENGINEERING CUNSULTANTS GROUPS”-ECG mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/ujumbe-wa-kampuni-ya-engineering.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UJUMBE WA KAMPUNI YA “ENGINEERING CUNSULTANTS GROUPS”-ECG"

Post a Comment