MBAO FC YAITANGAZIA YANGA KUIVUA UBINGWA WA FA CUP JUMAPILI

MBAO FC YAITANGAZIA YANGA KUIVUA UBINGWA WA FA CUP JUMAPILI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MBAO FC YAITANGAZIA YANGA KUIVUA UBINGWA WA FA CUP JUMAPILI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MBAO FC YAITANGAZIA YANGA KUIVUA UBINGWA WA FA CUP JUMAPILI
kiungo : MBAO FC YAITANGAZIA YANGA KUIVUA UBINGWA WA FA CUP JUMAPILI

soma pia


MBAO FC YAITANGAZIA YANGA KUIVUA UBINGWA WA FA CUP JUMAPILI

Mwambawahabari
dsc01759
Kikosi cha Mbao FC cha mkoani Mwanza kina imani ya kutinga fainali ya Kombe la Shirikisho kwa kuing’oa na kuivua ubingwa Yanga.
Mbao FC wanajiamini kutokana na safu nzuri ya ushambuliaji, lakini wameandaa safu yao ya ulinzi kikamilifu kuwadhibiti Simon Msuva na Amissi Tambwe, kuhakikisha hawapati nafasi ya kufunga.
Mbao inatarajia kukutana na Yanga Jumapili katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la FA ambapo hadi sasa ni timu nne tu ndizo zilizobakia.
Msemaji wa Mbao FC, Chrisant Malinzi, amesema kuwa, walikuwa na hamu kubwa ya kukutana na Yanga kwenye FA na kudai kuwa wameiandaa ipasavyo safu yao ya ulinzi kuhakikisha wanatoa upinzani mkubwa kwa Msuva na Tambwe ili wasipate nafasi ya kufunga kwa kuwa wanahitaji kutinga fainali.
“Tulianza mipango yetu siku nyingi ya kujiandaa katika michuano ya Kombe la FA na tulikuwa tukisubiria tu timu ya kupangwa nayo, tulikuwa na kiu ya kucheza na Yanga, kwani tupo tayari kwa mchezo huo na wala hatuhofii safu ya ushambuliaji ya Yanga kwani na sisi tuna safu nzuri ya ulinzi ya kuweza kuwazuia Msuva na Tambwe, tumejipanga vyema kuhakikisha tunapata nafasi ya kuingia fainali.
 “Kikosi chetu kipo vizuri na hadi tunafikia hapa ni juhudi za wachezaji hivyo nina imani tutafanikiwa kufanya vyema na hatimaye kuingia fainali kwani lengo letu ni kuona tunafanikiwa kutwaa taji ili kuwakilisha nchi kimataifa,” alisema Malinzi.


Hivyo makala MBAO FC YAITANGAZIA YANGA KUIVUA UBINGWA WA FA CUP JUMAPILI

yaani makala yote MBAO FC YAITANGAZIA YANGA KUIVUA UBINGWA WA FA CUP JUMAPILI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MBAO FC YAITANGAZIA YANGA KUIVUA UBINGWA WA FA CUP JUMAPILI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/mbao-fc-yaitangazia-yanga-kuivua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MBAO FC YAITANGAZIA YANGA KUIVUA UBINGWA WA FA CUP JUMAPILI"

Post a Comment