DKT. MWIGULU, WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YAKE, WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI YA KUWASILISHA BAJETI BUNGENI, JIJINI DODOMA KESHO

DKT. MWIGULU, WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YAKE, WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI YA KUWASILISHA BAJETI BUNGENI, JIJINI DODOMA KESHO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DKT. MWIGULU, WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YAKE, WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI YA KUWASILISHA BAJETI BUNGENI, JIJINI DODOMA KESHO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DKT. MWIGULU, WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YAKE, WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI YA KUWASILISHA BAJETI BUNGENI, JIJINI DODOMA KESHO
kiungo : DKT. MWIGULU, WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YAKE, WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI YA KUWASILISHA BAJETI BUNGENI, JIJINI DODOMA KESHO

soma pia


DKT. MWIGULU, WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YAKE, WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI YA KUWASILISHA BAJETI BUNGENI, JIJINI DODOMA KESHO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba akitoa Maelekezo kwa Watendaji Wakuu wa Wizara yake wakati wa Kikao cha Mapitio ya Bajeti ya Wizara hiyo, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kabla ya kusomwa bajeti ya Wizara hiyo, Bungeni jijini Dodoma, kesho. Kulia ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhandisi Hamad Masauni. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Mstaafu, Projest Rwegasira. Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Wizara, jijini humo leo. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba (katikati meza kuu), akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Mstaafu, Projest Rwegasira alipokua anatoa maelezo katika kikao cha Mapitio ya Bajeti ya Wizara hiyo, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kabla ya kusomwa Bungeni jijini Dodoma, kesho. Kulia meza kuu ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhandisi Hamad Masauni. Wapili kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Simba Yahya. Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini humo leo. 
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Mstaafu, Projest Rwegasira (kulia), akimsikiliza Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara hiyo, Issa Ng'imba, kabla ya kuanza kikao cha Mapitio ya Bajeti ya Wizara hiyo, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kabla ya kusomwa Bungeni jijini Dodoma, kesho. Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini humo leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba (katikati meza kuu), akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Mstaafu, Projest Rwegasira alipokua anatoa maelezo katika kikao cha Mapitio ya Bajeti ya Wizara hiyo, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kabla ya kusomwa Bungeni jijini Dodoma, kesho. Kulia meza kuu ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhandisi Hamad Masauni. Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini humo leo. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. 


Hivyo makala DKT. MWIGULU, WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YAKE, WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI YA KUWASILISHA BAJETI BUNGENI, JIJINI DODOMA KESHO

yaani makala yote DKT. MWIGULU, WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YAKE, WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI YA KUWASILISHA BAJETI BUNGENI, JIJINI DODOMA KESHO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DKT. MWIGULU, WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YAKE, WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI YA KUWASILISHA BAJETI BUNGENI, JIJINI DODOMA KESHO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/dkt-mwigulu-watendaji-wakuu-wa-wizara.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DKT. MWIGULU, WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YAKE, WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI YA KUWASILISHA BAJETI BUNGENI, JIJINI DODOMA KESHO"

Post a Comment