title : KIPINDI CHA CLOUDS 360 CHARUKA MUBASHARA KUTOKA NGORONGORO
kiungo : KIPINDI CHA CLOUDS 360 CHARUKA MUBASHARA KUTOKA NGORONGORO
KIPINDI CHA CLOUDS 360 CHARUKA MUBASHARA KUTOKA NGORONGORO
Mtangazaji Sam Sasali akifungua kipindi katika eneo la Olduvai Gorge ,kipindi cha 360 kilichokuwa kikirushwa moja kwa moja kutoka Ngorongoro.
Gari maalumu la kurushia matangazo la kituo cha Clouds TV likiwa katka eneo la Bonde la Olduvai Gorge kwa ajili ya kurusha matangazo ya moja kwa moja.
Mtangazaji wa kipindi cha Couds 360 ,Baby Kabaye akifanya mahojiano na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani wakati kipindi hicho kiliporushwa moja kwa moja kutoka Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro.
Mtangazaji wa Sport 360 ,James Tupatupa akifanya mahojiano na moja ya washindi wa nafasi ya kutembelea vivutio vya utalii ,leo katika kipindi cha Clouds 360 kilichorushwa moja kwa moja kutoka Hifadhi ya Ngorongoro.
Mtangazaji wa kipindi cha Clouds 360 Sam Sasali (katikati) akizungumza na moja ya Couple ya washindi waliofanikiwa kupata nafasi ya kutembelea vivutio va utalii leo wakati wa kipindi hicho kiliporushwa moja kwa moja kutoka katika Bonde la Oduvai Gorge lililopo katika Mamlaka ya Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
Hivyo makala KIPINDI CHA CLOUDS 360 CHARUKA MUBASHARA KUTOKA NGORONGORO
yaani makala yote KIPINDI CHA CLOUDS 360 CHARUKA MUBASHARA KUTOKA NGORONGORO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KIPINDI CHA CLOUDS 360 CHARUKA MUBASHARA KUTOKA NGORONGORO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/kipindi-cha-clouds-360-charuka.html
0 Response to "KIPINDI CHA CLOUDS 360 CHARUKA MUBASHARA KUTOKA NGORONGORO"
Post a Comment