Madee Amkana Jack Wolper..Adai Katuni iliyotumika Kwenye Wimbo wake sio Wolper

Madee Amkana Jack Wolper..Adai Katuni iliyotumika Kwenye Wimbo wake sio Wolper - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Madee Amkana Jack Wolper..Adai Katuni iliyotumika Kwenye Wimbo wake sio Wolper, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Madee Amkana Jack Wolper..Adai Katuni iliyotumika Kwenye Wimbo wake sio Wolper
kiungo : Madee Amkana Jack Wolper..Adai Katuni iliyotumika Kwenye Wimbo wake sio Wolper

soma pia


Madee Amkana Jack Wolper..Adai Katuni iliyotumika Kwenye Wimbo wake sio Wolper


Msanii Madee Ali ‘Madee’ kutoka kundi la Tip Top Connection amefunguka kuwa anashangazwa na uvumi wa msanii mwenzake, Jackline Wolper kwa kudai kuwa ametumika katika video mpya ya msanii huyo ya ‘Sikila’ bila ruhusa yake.

 “Ile video haijamuonyesha mtu sura zaidi ya kuwa na katuni hivyo nashangaa kusikia hivyo, kikubwa ni kuwa hajatumika yeye bali ametumika mwanamke mwingine kutoka Nigeria na anabidi aelewe ile sio picha bali ni mfano wa taswira tu,”alisema.

Akizungumzia mapokeo ya wimbo huo alisema kuwa mashabiki walishtuka kwasababu hawajawahi kuona kitu kama hicho kwa hapa nyumbani, lakini anashukuru Mungu mapokeo yamekuwa mazuri kwasababu wapo wanaosifia ubunifu na wapo wanaopinga ubunifu huo


Hivyo makala Madee Amkana Jack Wolper..Adai Katuni iliyotumika Kwenye Wimbo wake sio Wolper

yaani makala yote Madee Amkana Jack Wolper..Adai Katuni iliyotumika Kwenye Wimbo wake sio Wolper Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Madee Amkana Jack Wolper..Adai Katuni iliyotumika Kwenye Wimbo wake sio Wolper mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/madee-amkana-jack-wolperadai-katuni.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Madee Amkana Jack Wolper..Adai Katuni iliyotumika Kwenye Wimbo wake sio Wolper"

Post a Comment