WATANZANIA WAISHIO ALGERIA WAUPOKEA MSAFARA WA YANGA KWA SHANGWE

WATANZANIA WAISHIO ALGERIA WAUPOKEA MSAFARA WA YANGA KWA SHANGWE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATANZANIA WAISHIO ALGERIA WAUPOKEA MSAFARA WA YANGA KWA SHANGWE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATANZANIA WAISHIO ALGERIA WAUPOKEA MSAFARA WA YANGA KWA SHANGWE
kiungo : WATANZANIA WAISHIO ALGERIA WAUPOKEA MSAFARA WA YANGA KWA SHANGWE

soma pia


WATANZANIA WAISHIO ALGERIA WAUPOKEA MSAFARA WA YANGA KWA SHANGWE

 Kikosi cha wawakilishi watanzania katika michuano ya kimataifa ya kombe la Shirikisho barani Afrika Yanga wamewasili salama nchini Algerai kwa ajili ya mchezo wao marudiano dhidi ya MC Alger utakaochezwa kesho majira ya saa 2 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.

Katika msafara huo uliiongozwa na Katibu Mkuu wa Yanga Charles Boniface Mkwasa umefika salama na ukipokelewa na watanzania wanaoishi nchi Algeria na kufurahishwa na mapokezi hayo na kuahidi ushindi kwa watanzania.
Msafara wa wachezaji hao uliingia kwa mafungu mawili ambapo kundi la kwanza liliwasili likiongozwa na benchi la ufundi la timu hiyo likiwa na kocha Mkuu George Lwandamina huku kurudi la pili likiwasili  na Katibu Mkuu.
Mtanzania Hamis Mwampese anayeishi nchini Algeria amesema kuwa timu ya Algers wameingia uoga hasa baada ya kuona Yanga wamechelewa kuingia nchini humo na zaidi kwa kufanya hivyo wameepusha sana kufanyiwa hujuma na wenyeji wa nchi hiyo.
Yanga wamefikia katika Hotel ya nyota tano inayojulikana kwa jina la Sultan ambapo si mbali sana na Uwanja ulipo utakaochezewa kesho katika mechi hiyo ya marudiano ambapo Yanga wanatakiwa kupata ushindi wa aina yoyote au sare.

Mtanzania Hamis Mwampese akisalimiana na Katibu Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa baada ya kuwasili Jijini Algeria  kwa ajili ya mechi ya marudiano ya hatua ya mtaoano wa Kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Mc Alger ambapo katika mechi ya awali Yanga walitoka na ushindi wa goli 1-0..

Mtanzania Hamis Mwampese  akiwa katika picha mbalimbali na wachezaji wa timu hiyo baada ya kuwasili nchini Algeria kwa ajili ya mechi ya marudiano ya hatua ya mtaoano wa Kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Mc Alger ambapo katika mechi ya awali Yanga walitoka na ushindi wa goli 1-0.


Hivyo makala WATANZANIA WAISHIO ALGERIA WAUPOKEA MSAFARA WA YANGA KWA SHANGWE

yaani makala yote WATANZANIA WAISHIO ALGERIA WAUPOKEA MSAFARA WA YANGA KWA SHANGWE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATANZANIA WAISHIO ALGERIA WAUPOKEA MSAFARA WA YANGA KWA SHANGWE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/watanzania-waishio-algeria-waupokea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WATANZANIA WAISHIO ALGERIA WAUPOKEA MSAFARA WA YANGA KWA SHANGWE"

Post a Comment