WAZIRI MKUU AENDA NCHINI CUBA KWA ZIARA YA KIKAZI - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU AENDA NCHINI CUBA KWA ZIARA YA KIKAZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
WAZIRI MKUU AENDA NCHINI CUBA KWA ZIARA YA KIKAZIkiungo :
WAZIRI MKUU AENDA NCHINI CUBA KWA ZIARA YA KIKAZI
WAZIRI MKUU AENDA NCHINI CUBA KWA ZIARA YA KIKAZI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiagana na Mkuu wa Wilaya ya Temeke ,Felex Jackson katika Uwanja wa Ndege wa Julias Nyerere Dar es salaam leo August,16/2017 akiwa anaelekea Nchini Cuba Kwa ziara ya kikazi.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
………………..
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo (Jumatano, Agosti 16, 2017) kuelekea nchini Cuba kwa ajili ya ziara ya kikazi yenye lengo la kudumisha ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.
Akiwa nchini Cuba Waziri Mkuu anatarajiwa kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wa Cuba kwa lengo la kukuza ushirikiano katika sekta za afya, elimu utalii na Kilimo.
Aidha, nchi ya Cuba ni mojawapo ya nchi zenye ushirikano wa muda mrefu na Tanzania Kisiasa, Kijamii na Kiuchumi.
IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU,
JUMATANO, AGOSTI 16, 2017.
Hivyo makala WAZIRI MKUU AENDA NCHINI CUBA KWA ZIARA YA KIKAZI
yaani makala yote WAZIRI MKUU AENDA NCHINI CUBA KWA ZIARA YA KIKAZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AENDA NCHINI CUBA KWA ZIARA YA KIKAZI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/waziri-mkuu-aenda-nchini-cuba-kwa-ziara.html
Related Posts :
Matukio : Dk. Juma Malewa Aongoza kikao Maalum cha Kujadili Mikakati ya Jeshi la Magereza Kujitosheleza kwa Chakula
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Dkt. Juma Malewa, akisalimiana na Kamishna wa Utawala na Fedha wa Magereza, Gaston Sanga mara baad… Read More...
MAGARI 50 YA WAGONJWA YAGAIWA KWA HALMASHAURI.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Selemani Jafo, ameendesha zoezi la kugawa magari 50 ya wagonj… Read More...
Matukio :Waziri, Jafo Aagiza Maafisa Habari Serikalini kuingia Kwenye Vikao vya Maamuzi
Na Dixon Busagaga wa Kanda ya Kaskazini.
SERIKALI imeziagiza Halmashauri kuhakikisha Maafisa Habari wanaingia katika vikao vya maamuzi il… Read More...
AWAMU YA TANO YA RAIS DKT. MAGUFULI YAWATUA NDOO WANANACHI WA GAIRO
Mkuu wa Wilaya ya Gairo, Mhe. Siriel Mchembe (wa kwanza kulia) na wageni wake kutoka Sweden wakishiriki msaragambo na wanawake wa Kata ya… Read More...
Matukio : Wizara Saba Kukutana kutatua changamoto za Mazingira ya Biashara na Uwekezaji Mpakani mwa Tanzania na Zambia
Mkuu wa mkoa wa Songwe, Luteni Mstaafu, Chiku Galawa akiteta jambo na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu), Profesa, Faustin… Read More...
0 Response to "WAZIRI MKUU AENDA NCHINI CUBA KWA ZIARA YA KIKAZI"
Post a Comment