ZOEZI LA UCHIMBAJI WA VISIMA WAANZA KATA YA NAMIUGO WILAYANI TUNDURU

ZOEZI LA UCHIMBAJI WA VISIMA WAANZA KATA YA NAMIUGO WILAYANI TUNDURU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ZOEZI LA UCHIMBAJI WA VISIMA WAANZA KATA YA NAMIUGO WILAYANI TUNDURU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ZOEZI LA UCHIMBAJI WA VISIMA WAANZA KATA YA NAMIUGO WILAYANI TUNDURU
kiungo : ZOEZI LA UCHIMBAJI WA VISIMA WAANZA KATA YA NAMIUGO WILAYANI TUNDURU

soma pia


ZOEZI LA UCHIMBAJI WA VISIMA WAANZA KATA YA NAMIUGO WILAYANI TUNDURU

 Wakazi wa Kijiji na Kata ya Namiungo Wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma hivi karibuni wakishughudia kuanza kwa zoezi la uchimbaji wa visima vya maji kijijini hapo kutoka kwa shirika lisilo la kiserikali la Safe Water for Life and Diginity (SWLD) kutoka nchini Marekani.
Zoezi la uchimbaji wa visima vya maji likiendelea katika Kijiji na Kata ya Namiungo Wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma kutoka kwa shirika lisilo la kiserikali la Safe Water for Life and Diginity (SWLD) kutoka nchini Marekani wengine ni wakazi wa kijiji hicho hivi karibuni wakishuhudia zoezi hilo.

Mkazi wa Kijiji na Kata ya Namiungo Wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma Rehema Mohamedi hivi karibuni akizungumzia changamoto ya maji inayowakabili wakazi hao baada ya waandishi wa habari kutembelea kijijii hapo hivi karibuni. (FATNA MWINYIMKUU)


Hivyo makala ZOEZI LA UCHIMBAJI WA VISIMA WAANZA KATA YA NAMIUGO WILAYANI TUNDURU

yaani makala yote ZOEZI LA UCHIMBAJI WA VISIMA WAANZA KATA YA NAMIUGO WILAYANI TUNDURU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ZOEZI LA UCHIMBAJI WA VISIMA WAANZA KATA YA NAMIUGO WILAYANI TUNDURU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/zoezi-la-uchimbaji-wa-visima-waanza.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ZOEZI LA UCHIMBAJI WA VISIMA WAANZA KATA YA NAMIUGO WILAYANI TUNDURU"

Post a Comment