Mbunge wa CCM Aliyekwenda Kumtembelea Tundu Lissu Aeleza Hali ya Lissu Aliyomkuta Nayo

Mbunge wa CCM Aliyekwenda Kumtembelea Tundu Lissu Aeleza Hali ya Lissu Aliyomkuta Nayo - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mbunge wa CCM Aliyekwenda Kumtembelea Tundu Lissu Aeleza Hali ya Lissu Aliyomkuta Nayo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mbunge wa CCM Aliyekwenda Kumtembelea Tundu Lissu Aeleza Hali ya Lissu Aliyomkuta Nayo
kiungo : Mbunge wa CCM Aliyekwenda Kumtembelea Tundu Lissu Aeleza Hali ya Lissu Aliyomkuta Nayo

soma pia


Mbunge wa CCM Aliyekwenda Kumtembelea Tundu Lissu Aeleza Hali ya Lissu Aliyomkuta Nayo



Mbunge wa Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu amemtembelea Hospitali alikolazwa Mbunge na Mwanasheria wa CHADEMA Tundu Lissu baada ya kupigwa risasi Dodoma ambapo baada ya kufika, ametueleza hali ya Tundu Lissu pamoja na anachohitaji Watanzania wafanye.

Japo hakuwa na uhakika kama Madaktari wangeruhusu kwenda kumsalimu Tundu Lissu, ruhusa ilitoka baadae ambapo baada ya kumuona na kuagana nae, Nyalandu amesema yafuatayo

MUDA mfupi uliopita, nimeonana na Mh. #TunduLissu katika chumba chake hospitali ya Nairobi na kuzungumza naye kuhusu hali yake na anavyoendelea.UKWELI ni kwamba, ameumizwa vibaya. Imeelezwa kwamba MADAKTARI wanaendelea na hatua kadhaa za matibabu, wakiwa wameanza kwa kumuimarisha (stabilization), ili kuufanya mwili uweze kumudu hatua zaidi za utibabu anazopaswa kufanyiwa. AIDHA, katika kuongea naye, Mh. Lissu ameonesha uso wa tabasamu, huku akimshukuru MUNGU kwa kumruhusu kuwepo hai. NAAMINI kwamba hatua zaidi na za haraka zitahitajika kumsaidia apate huduma za kitabibu katika ubora na ufanisi uliopo kwa sasa duniani. Ni maombi yangu kwetu SOTE , tuweke pembeni tofauti zetu za kiitikadi, ama mitazamo, tuungane na kushikamana kama Taifa kwa ajili ya kumwomba MUNGU anyooshe mkono wake, na kumponya. HALIKADHALIKA, SOTE tuungane kutoa msaada wa hali na mali kwa kadri ya uhitaji wake. AMANI iwe naye! 

Mengine yote aliyoyasema Nyalandu unaweza kuyafahamu kwa kubonyeza play hapa chini….


Hivyo makala Mbunge wa CCM Aliyekwenda Kumtembelea Tundu Lissu Aeleza Hali ya Lissu Aliyomkuta Nayo

yaani makala yote Mbunge wa CCM Aliyekwenda Kumtembelea Tundu Lissu Aeleza Hali ya Lissu Aliyomkuta Nayo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mbunge wa CCM Aliyekwenda Kumtembelea Tundu Lissu Aeleza Hali ya Lissu Aliyomkuta Nayo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/mbunge-wa-ccm-aliyekwenda-kumtembelea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mbunge wa CCM Aliyekwenda Kumtembelea Tundu Lissu Aeleza Hali ya Lissu Aliyomkuta Nayo"

Post a Comment