JESHI LA POLISI KUWA IMARA SASA MAKONDA KUKABIDHIWA MAGARI HAYA YENYE MUUNDO WA KISASA KWA KANDA MAALUMU DAR ES SALAAM

JESHI LA POLISI KUWA IMARA SASA MAKONDA KUKABIDHIWA MAGARI HAYA YENYE MUUNDO WA KISASA KWA KANDA MAALUMU DAR ES SALAAM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JESHI LA POLISI KUWA IMARA SASA MAKONDA KUKABIDHIWA MAGARI HAYA YENYE MUUNDO WA KISASA KWA KANDA MAALUMU DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JESHI LA POLISI KUWA IMARA SASA MAKONDA KUKABIDHIWA MAGARI HAYA YENYE MUUNDO WA KISASA KWA KANDA MAALUMU DAR ES SALAAM
kiungo : JESHI LA POLISI KUWA IMARA SASA MAKONDA KUKABIDHIWA MAGARI HAYA YENYE MUUNDO WA KISASA KWA KANDA MAALUMU DAR ES SALAAM

soma pia


JESHI LA POLISI KUWA IMARA SASA MAKONDA KUKABIDHIWA MAGARI HAYA YENYE MUUNDO WA KISASA KWA KANDA MAALUMU DAR ES SALAAM

Mwambawahabari 

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda leo ametembelea na kukagua Ukarabati wa Magari 26 ya Polisi yaliyopelekwa Mkoani Kilimanjaro yakiwa Mabovu kwaajili ya kukarabatiwa na kubadilishwa Mwonekano ambapo hadi sasa Magari 18 yapo hatua ya mwisho kukamilika.
Magari hayo ambayo yalipelekwa Moshi yakiwa Chakavu kwa sasa baadhi yanatembea ambapo yamepakwa Rangi huku yakifungwa vifaa mbalimbali ikiwemo Magurudumu Mapya, Taa,Vioo,Bodi, Side Mirrow na vifaa vingine muhimu.

Makonda amesema ameridhishwa na hatua iliyofikiwa na kusema kuwa atakabidhiwa Magari hayo mwanzoni mwa mwezi October ili ayakabidhi kwa Jeshi la Polis.

Amesema Magari hayo yenye mwonekano kama yale ya UN yatakuwa na uwezo wa kubeba Askari Tisa nyuma wakiwa wamekaa ambapo Watatu watakuwa wakitazama Nyuma, Watatu Kushoto, Watatu Kulia na Mmoja Mbele wote wakiwa wamebeba silaha.




Aidha Makonda amesema kupatikana kwa Magari hayo yatasaidia kupunguza vitendo vya Uhalifu kwa Wananchi.

Makonda amesema kuwa lengo lake ni kuona hakuna Mwananchi yoyote anaeibiwa au kuporwa kitu.

Hata hivyo amesema Baadhi ya Askari walikuwa wakipoteza maisha na kuporwa Silaha kutokana na aina ya Magari waliyokuwa wakitumia kutowapa uwezo wa kukabiliana na wahalifu hivyo Magari hayo yatamaliza matukio hayo.

Ameishukuru kampuni ya RSA Limited kwa kumuunga mkono kwa kujitolea kukarabati Magari 56 ya Jeshi la Polisi kwa kuyafanya kuwa ya kisasa na Mapya.

Sanjari na hayo amesema Magari hayo yataenda kufanya Doria kwa masaa 24.

Naye Mkurugenzi wa Kampuni ya RSA Bwana Manmohan Bhamra amesema kwa sasa Magari hayo ni sawa na Mapya kwakuwa yamewekwa vifaa vipya.

Amesema Magari yote watayakabidhi kwa wakati iliyakaongeze tija katika kuimarisha Ulinzi na Usalama kwa Wananchi


Hivyo makala JESHI LA POLISI KUWA IMARA SASA MAKONDA KUKABIDHIWA MAGARI HAYA YENYE MUUNDO WA KISASA KWA KANDA MAALUMU DAR ES SALAAM

yaani makala yote JESHI LA POLISI KUWA IMARA SASA MAKONDA KUKABIDHIWA MAGARI HAYA YENYE MUUNDO WA KISASA KWA KANDA MAALUMU DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JESHI LA POLISI KUWA IMARA SASA MAKONDA KUKABIDHIWA MAGARI HAYA YENYE MUUNDO WA KISASA KWA KANDA MAALUMU DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/jeshi-la-polisi-kuwa-imara-sasa-makonda.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JESHI LA POLISI KUWA IMARA SASA MAKONDA KUKABIDHIWA MAGARI HAYA YENYE MUUNDO WA KISASA KWA KANDA MAALUMU DAR ES SALAAM"

Post a Comment