title : WAZIRI MKUU AWAAGA WATALII 1000 KUTOKA NCHINI ISRAEL
kiungo : WAZIRI MKUU AWAAGA WATALII 1000 KUTOKA NCHINI ISRAEL
WAZIRI MKUU AWAAGA WATALII 1000 KUTOKA NCHINI ISRAEL
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Waziri wa Maliasili na Utalii Khamis Kigwangala, wakati akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa KIA, kuwasalimia na kuwaaga Watalii kutoka nchini Israel Aprili 27, 2019
Wasanii wa kabila la Kimasai, wakitoa burudani kwa Watalii kutoka nchini Israel Aprili 27, 2019, kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa KIA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii Khamis Kigwangala, kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa KIA, alipofika kuwasalimia na kuwaaga Watalii kutoka nchini Israel
Mkurugenzi wa Kampuni ya Another World Shlomo Carmel, iliyoleta Watalii 1000 kutoka nchini Israel, akiongea na kushukuru kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa KIA Aprili
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Watalii kutoka nchini Israel, kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa KIA, wakati akiwaaga Aprili 27, 2019.
Watalii kutoka nchini Israel, wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa KIA, kabla ya kuondoka nchini

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimvalisha kikoi Mkurugenzi wa Kampuni ya Another World Shlomo Carmel, iliyoleta Watalii 1000 kutoka nchini Israel, kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa KIA Aprili 27, 2019. Kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii Khamis Kigwangala.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiagana na watalii kutoka nchini Israel, kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa KIA Aprili 27, 2019. Kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Another World Shlomo Carmel.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiagana na watalii kutoka nchini Israel, kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa KIA Aprili 27, 2019. Kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Another World Shlomo Carmel.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Hivyo makala WAZIRI MKUU AWAAGA WATALII 1000 KUTOKA NCHINI ISRAEL
yaani makala yote WAZIRI MKUU AWAAGA WATALII 1000 KUTOKA NCHINI ISRAEL Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AWAAGA WATALII 1000 KUTOKA NCHINI ISRAEL mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/waziri-mkuu-awaaga-watalii-1000-kutoka.html
0 Response to "WAZIRI MKUU AWAAGA WATALII 1000 KUTOKA NCHINI ISRAEL"
Post a Comment