SHEIKH SHARIF MAJINI KUFANYA KONGAMANO MKOANI ARUSHA JUMAPILI HII.

SHEIKH SHARIF MAJINI KUFANYA KONGAMANO MKOANI ARUSHA JUMAPILI HII. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SHEIKH SHARIF MAJINI KUFANYA KONGAMANO MKOANI ARUSHA JUMAPILI HII., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SHEIKH SHARIF MAJINI KUFANYA KONGAMANO MKOANI ARUSHA JUMAPILI HII.
kiungo : SHEIKH SHARIF MAJINI KUFANYA KONGAMANO MKOANI ARUSHA JUMAPILI HII.

soma pia


SHEIKH SHARIF MAJINI KUFANYA KONGAMANO MKOANI ARUSHA JUMAPILI HII.

Sheikh Shariff Majini kutoka jijini Dar es salaam ambaye kwa sasa yupo ziarani katika baadhi ya mikoa Tanzania Bara, Jumapili tarehe 28-05-2017 atafanya kongamano kubwa kwa ajili ya akina Mama wa Jijini Arusha katika ukumbi wa CCM Mkoa kuanzia saa mbili asubuhi.
Matayarisho yote yamekwisha malizika na Sheikh ameshawasili Jijini Arusha tayari kabisa kwa ajili ya kuendesha kongamano hilo.

Pamoja na kongamano hilo Sheikh atafanya visomo kwa ajili ya kuwaombea watoto wanafunzi wa Shule ya Lucky Viscent ya Arusha waliofariki katika ajali ya gari. Pamoja na watoto watatu walionusurika wanaopata matibabu Marekani ili wapate nafuu haraka waweze kurejea kwenye masomo yao.


Hivyo makala SHEIKH SHARIF MAJINI KUFANYA KONGAMANO MKOANI ARUSHA JUMAPILI HII.

yaani makala yote SHEIKH SHARIF MAJINI KUFANYA KONGAMANO MKOANI ARUSHA JUMAPILI HII. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SHEIKH SHARIF MAJINI KUFANYA KONGAMANO MKOANI ARUSHA JUMAPILI HII. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/sheikh-sharif-majini-kufanya-kongamano.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SHEIKH SHARIF MAJINI KUFANYA KONGAMANO MKOANI ARUSHA JUMAPILI HII."

Post a Comment