title : WATEJA 15 WAFAIDIKA NA PROMOSHENI YA TIA VITUUZ.
kiungo : WATEJA 15 WAFAIDIKA NA PROMOSHENI YA TIA VITUUZ.
WATEJA 15 WAFAIDIKA NA PROMOSHENI YA TIA VITUUZ.
Na.Khadija seif,Globu ya jamii
HATIMAE washindi 15 wa wiki ya saba ya promosheni ya “Tia kitu pata vituz” inayoendeshwa na Kampuni ya MultiChoice Tanzania watangazwa rasmi.
Afisa Mwandamizi wa bodi ya michezo ya michezo ya kubahatisha Bw. Jehud Ngolo amesema Kampeni hiyo ni ya kipindi cha wiki 8, ambapo washindi 15 hutangazwa kila wiki hivyo jumla ya washindi 120 katika kipindi chote cha promosheni hiyo.
Afisa Uhusiano wa Kampuni ya MultiChoice Tanzania Grace Mgaya wakati wa kufanya droo ya wiki ya saba ya promosheni hiyo amesema promosheni hiyo ni wazi kuwa inawalenga wateja wote wa DStv ambao watalipia vifurushi vyao kabla havijakatika.
“Mteja yeyote wa DStv atakayelipia kifurushi chake kabla hakijakatika moja kwa moja anaingia katika droo na ana fursa ya kujishindia kifurushi chake kwa muda wa miezi miwili mfulilizo” alisema Mgaya.
Akizumgumza baada ya kupatiwa taarifa kuhusu ushindi wake huo Angelina Michael ambaye ni mteja wa DStv aliyepo mkoani Arusha amesema kuwa anafurahishwa na jitihada zinazofanywa na DStv siku hadi siku katika kuwajali na kuhakikisha wateja wake wanapata huduma zilizo na ubora wa hali ya juu.
.
Huku Deus Nyakriga kutoka mkoani Mara, ameishukuru sana DStv kwa zawadi hiyo na kueleza kuwa licha ya kuwapatia huduma nzuri DStv inawajali sana wateja wake.
Pia amewapa ujasiri wateja wengine wa DStv kulipa kwa wakati ili kujipatia nafasi hiyo ya kuingia kwenye droo hiyo ya kushinda miezi miwili bila malipo.
Afisa Uhusiano MultiChoice Tanzania Grace Mgaya {katikati} Akizungumza kwa simu na moja ya washindi wa promosheni hiyo. Kulia ni Afisa wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Jehud Ngolo na kushoto ni Benson Urio wa Kitengo cha Teknohama. Promosheni hiyo ni kwa wateja wanaolipia kwa
wakati kabla vifurushi vyao havijakatika hivyo kupata fursa ya kushinda kifurushi cha miezi miwili. Promosheni hii itaendelea kwa kipindi cha wiki 5 zijazo ambapo jumla ya washindi 120
watapatikan
Hivyo makala WATEJA 15 WAFAIDIKA NA PROMOSHENI YA TIA VITUUZ.
yaani makala yote WATEJA 15 WAFAIDIKA NA PROMOSHENI YA TIA VITUUZ. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WATEJA 15 WAFAIDIKA NA PROMOSHENI YA TIA VITUUZ. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/wateja-15-wafaidika-na-promosheni-ya.html
0 Response to "WATEJA 15 WAFAIDIKA NA PROMOSHENI YA TIA VITUUZ."
Post a Comment