HABIB HAJI KYOMBO RASMI ASAINI KANDARASI YA MIAKA MITATU SINGIDA UNITED.

HABIB HAJI KYOMBO RASMI ASAINI KANDARASI YA MIAKA MITATU SINGIDA UNITED. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HABIB HAJI KYOMBO RASMI ASAINI KANDARASI YA MIAKA MITATU SINGIDA UNITED., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HABIB HAJI KYOMBO RASMI ASAINI KANDARASI YA MIAKA MITATU SINGIDA UNITED.
kiungo : HABIB HAJI KYOMBO RASMI ASAINI KANDARASI YA MIAKA MITATU SINGIDA UNITED.

soma pia


HABIB HAJI KYOMBO RASMI ASAINI KANDARASI YA MIAKA MITATU SINGIDA UNITED.


Na Bakari Madjeshi, Globu ya Jamii 

Aliyekuwa Mshambuliaji wa timu ya Mbao FC msimu uliopita, Habib Kyombo leo amesaini mkataba wa miaka mitatu na Singida United.

Kyombo ambaye ameitumikia Mbao FC kwa mwaka mmoja na nusu alifanikiwa kufunga mabao 16 kwenye mashindano yote aliyocheza akiwa na timu hiyo. 

Ujumbe wa shukrani aliondika kupitia mtandao, amesema anawashukuru Mbao FC na mashabiki wake, kwa kusema kuwa tangu amevaa Jezi ya timu hiyo  walimpa sapoti yakutosha. 

Bila kusahau amemshukuru, Aliyekuwa Kocha wa timu ya Mbao, Ettiene Ndayirajige kwa imani yake nakuonyesha kumuamini katika nafasi ya ushambuliaji ambao imesaidia kumsogeza karibu na ndoto zake. 

Amesema hatosahau na itabaki kumbukumbu kwake baada yakuisaidia timu hiyo kufika Fanali ya Michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) msimu uliopita ambapo walipoteza kwa kichapo cha bao 2-1 mbele ya Simba SC.



Hivyo makala HABIB HAJI KYOMBO RASMI ASAINI KANDARASI YA MIAKA MITATU SINGIDA UNITED.

yaani makala yote HABIB HAJI KYOMBO RASMI ASAINI KANDARASI YA MIAKA MITATU SINGIDA UNITED. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HABIB HAJI KYOMBO RASMI ASAINI KANDARASI YA MIAKA MITATU SINGIDA UNITED. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/habib-haji-kyombo-rasmi-asaini.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "HABIB HAJI KYOMBO RASMI ASAINI KANDARASI YA MIAKA MITATU SINGIDA UNITED."

Post a Comment