WANAFUNZI WA SHULE ZA SEKONDARI MPWAPWA WASHAURIWA KUSOMA SAYANSI

WANAFUNZI WA SHULE ZA SEKONDARI MPWAPWA WASHAURIWA KUSOMA SAYANSI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WANAFUNZI WA SHULE ZA SEKONDARI MPWAPWA WASHAURIWA KUSOMA SAYANSI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WANAFUNZI WA SHULE ZA SEKONDARI MPWAPWA WASHAURIWA KUSOMA SAYANSI
kiungo : WANAFUNZI WA SHULE ZA SEKONDARI MPWAPWA WASHAURIWA KUSOMA SAYANSI

soma pia


WANAFUNZI WA SHULE ZA SEKONDARI MPWAPWA WASHAURIWA KUSOMA SAYANSI

 Mhandisi kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Kitengo maalum cha ushirikishwaji wa wanawake katika kazi za barabara, Upendo Sanze, akifafanua jambo kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kibakwe, wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma, kuhusu umuhimu wa masomo ya Sayansi na Hisabati. 
 Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kibakwe, wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma, wakimsikiliza Mhandisi kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Kitengo maalum cha ushirikishwaji wa wanawake katika kazi za barabara, Upendo Sanze (hayupo pichani), alipofika shuleni hapo kuhamasisha umuhimu wa masomo ya Sayansi na Hisabati.
 Mhandisi kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Kitengo maalum cha ushirikishwaji wa wanawake katika kazi za barabara, Salome Majala, akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kibakwe, wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma, ili kuwahamasisha kusoma masomo ya Sayansi na Hisabati. 
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Kibakwe, wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma, Bw. Sajigwa Nikupala akisisitiza jambo kwa wanafunzi wake  wakati Wahandisi wanawake kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Kitengo maalum cha ushirikishwaji wa wanawake katika kazi za barabara, walipofika shuleni hapo kuhamasisha umuhimu wa usomaji wa masomo ya Sayansi na Hisabati.
Picha na WUUM



Hivyo makala WANAFUNZI WA SHULE ZA SEKONDARI MPWAPWA WASHAURIWA KUSOMA SAYANSI

yaani makala yote WANAFUNZI WA SHULE ZA SEKONDARI MPWAPWA WASHAURIWA KUSOMA SAYANSI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WANAFUNZI WA SHULE ZA SEKONDARI MPWAPWA WASHAURIWA KUSOMA SAYANSI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/wanafunzi-wa-shule-za-sekondari-mpwapwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WANAFUNZI WA SHULE ZA SEKONDARI MPWAPWA WASHAURIWA KUSOMA SAYANSI"

Post a Comment