title : SAMATTA AWAVULIA KOFIA MSUVA,YONDANI STARS.
kiungo : SAMATTA AWAVULIA KOFIA MSUVA,YONDANI STARS.
SAMATTA AWAVULIA KOFIA MSUVA,YONDANI STARS.
MwambawahabariNAHODHA wa timu ya Taifa Taifa Stars, Mbwana Samatta, amesema wachezaji wenzake kwenye timu hiyo, Kelvin Yondani na Simon Msuva wapo kwenye kiwango cha juu kwa sasa.
Akizungumza jana, Samatta alisema pamoja na kuwa Yondani hajaitwa kwa muda mrefu kwenye timu hiyo, kurejea kwake kumeongeza uimara katika safu yao ya ulinzi.
Kwa kweli Yondani amerejea na kiwango kikubwa na uwapo wake unaifanya safu yetu ya ulinzi kuimarika zaidi, lakini pia uwezo ulioonyeshwa na Msuva unatupa mwanga kuwa kama tutakuwa na wachezaji wengi wa aina yake tunaweza kufanya vizuri zaidi,” alisema Samatta.
Katika mchezo wa kirafiki uliochezwa juzi dhidi ya Botswana, Msuva alifunga mabao yote mawili na kuipa Taifa Stars ushindi wa mabao 2-0 kwenye mchezo huo ulipo katika Kalenda ya FIFA.
Samatta, alisema Msuva ameonyesha kiwango kikubwa na kumtabiria kufika mbali zaidi kwenye timu yake mpya anayoichezea kwa sasa.
Msuva kwa sasa anaichezea klabu ya Difaa Hassan El Jadidi (DHJ FC) ya nchini Morocco aliyojiunga nayo akitokea kwa mabingwa wa soka Tanzania, Yanga.
Hivyo makala SAMATTA AWAVULIA KOFIA MSUVA,YONDANI STARS.
yaani makala yote SAMATTA AWAVULIA KOFIA MSUVA,YONDANI STARS. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SAMATTA AWAVULIA KOFIA MSUVA,YONDANI STARS. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/samatta-awavulia-kofia-msuvayondani.html
0 Response to "SAMATTA AWAVULIA KOFIA MSUVA,YONDANI STARS."
Post a Comment