NZUKI AKIPOKEA WATALII ZAIDI YA 350 KUTOKA NCHI ZA ULAYA

NZUKI AKIPOKEA WATALII ZAIDI YA 350 KUTOKA NCHI ZA ULAYA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NZUKI AKIPOKEA WATALII ZAIDI YA 350 KUTOKA NCHI ZA ULAYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NZUKI AKIPOKEA WATALII ZAIDI YA 350 KUTOKA NCHI ZA ULAYA
kiungo : NZUKI AKIPOKEA WATALII ZAIDI YA 350 KUTOKA NCHI ZA ULAYA

soma pia


NZUKI AKIPOKEA WATALII ZAIDI YA 350 KUTOKA NCHI ZA ULAYA

Na Shushu Joel.

KATIKA uendelezaji wa sekta ya utalii nchini serikali ipo katika mchakato wa kuanzisha ujenzi wa terminal ya cruise katika Bandari ya jiji la Dar es salaam.

Ujenzi wa Bandari hiyo katika bahari ya hindi utasaidia kupokea watalii kutoka nchi mbalimbali.

Hayo yalielezwa leo na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Aloyce Nzuki,alipokuwa akipokea watalii zaidi ya 350 kutoka nchi za ulaya walikuja kwa kutumia meli aina ya Silver whisper.

Alisema kuwa kutokana na ujio wa watalii hao kupitia meli imetuongezea motisha kama serikali,hivyo ujenzi wa terminal maalum utafanyika katika upanuzi wa unaoendelea kwenye cruise maalum ili kuepusha shughuli zingine za kushughulikia meli za cargo katika Bandari hiyo.

"Watalii watakapo anza kuja kwa wingi kupitia bahari itasaidia taifa kujiongezea kipato kupitia idara hiyo" alisema Nzuki.

Kwa upande wake mwenyekiti wa bodi ya utalii (TTB) Jaji Thomas Mihayo alisema kuwa bodi hiyo itahakikisha inajadiliana na mamlaka husika ili kuona jinsi gani wanaweza wakatoa viza za muda mrefu kwa watalii ambao watakao penda kukaa nchini zaidi ya mwezi.

Aidha aliongeza kuwa watanzania wanatakiwa kuongeza ukalimu kwa wageni wetu wanaofika nchini kwa lengo la utalii ili taifa liweze kujiongezea kipato kupitia nyanja ya utalii.
Watalii zaidi ya 350 kutoka nchi za ulaya walikuja kwa kutumia meli aina ya Silver whisper wakishuka na kuelekea mbalimbali ya utalii leo jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka,MMG)
Muonekano wa meli ya Silver whisper.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Aloyce Nzuki, aikizungumza na waandishi wa habari alipokuwa akipokea watalii zaidi ya 350 kutoka nchi za ulaya walikuja kwa kutumia meli aina ya Silver whisper leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania, Bi. Devota Mdachi akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari leo alipo kuwa akipokea watalii zaidi ya 350 kutoka nchi za ulaya walikuja kwa kutumia meli aina ya Silver whisper leo jijini Dar es Salaam.
Viongozi mbalimbali wakiwa katika bandari ya Dar esSalaam wakijadili mambo mbalimbali leo wakati wa kuwapokea watalii zaidi ya 350 kutoka nchi za ulaya walikuja kwa kutumia meli aina ya Silver whisper leo.


Hivyo makala NZUKI AKIPOKEA WATALII ZAIDI YA 350 KUTOKA NCHI ZA ULAYA

yaani makala yote NZUKI AKIPOKEA WATALII ZAIDI YA 350 KUTOKA NCHI ZA ULAYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NZUKI AKIPOKEA WATALII ZAIDI YA 350 KUTOKA NCHI ZA ULAYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/nzuki-akipokea-watalii-zaidi-ya-350.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NZUKI AKIPOKEA WATALII ZAIDI YA 350 KUTOKA NCHI ZA ULAYA"

Post a Comment