WAGONJWA 15 AMBAO MISHIPA YA DAMU YA MOYO IMEZIBA KWA KIWANGO KIKUBWA KUPATA MATIBABU KATIKA KAMBI MAALUM YA KUZIBUA MISHIPA YA DAMU YA MOYO

WAGONJWA 15 AMBAO MISHIPA YA DAMU YA MOYO IMEZIBA KWA KIWANGO KIKUBWA KUPATA MATIBABU KATIKA KAMBI MAALUM YA KUZIBUA MISHIPA YA DAMU YA MOYO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAGONJWA 15 AMBAO MISHIPA YA DAMU YA MOYO IMEZIBA KWA KIWANGO KIKUBWA KUPATA MATIBABU KATIKA KAMBI MAALUM YA KUZIBUA MISHIPA YA DAMU YA MOYO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAGONJWA 15 AMBAO MISHIPA YA DAMU YA MOYO IMEZIBA KWA KIWANGO KIKUBWA KUPATA MATIBABU KATIKA KAMBI MAALUM YA KUZIBUA MISHIPA YA DAMU YA MOYO
kiungo : WAGONJWA 15 AMBAO MISHIPA YA DAMU YA MOYO IMEZIBA KWA KIWANGO KIKUBWA KUPATA MATIBABU KATIKA KAMBI MAALUM YA KUZIBUA MISHIPA YA DAMU YA MOYO

soma pia


WAGONJWA 15 AMBAO MISHIPA YA DAMU YA MOYO IMEZIBA KWA KIWANGO KIKUBWA KUPATA MATIBABU KATIKA KAMBI MAALUM YA KUZIBUA MISHIPA YA DAMU YA MOYO

Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na mwenzao wa  Hospitali ya Meditrina ya nchini India wanafanya kambi maalum ya matibabu ya moyo kwa  siku tatu ya kuzibua mishipa ya damu  ambayo imeziba kwa kiwango kikubwa (Chronic Total Occlusion) na hivyo kushindwa kupitisha damu vizuri.

Kambi hiyo ni maalum kwa ajili ya  kuwasaidia wagonjwa wenye matatizo hayo ambao bila ya kupata mtaalamu mwenye ujuzi wa hali ya juu wa kuzibua mishipa hiyo wangefanyiwa upasuaji mkubwa wa moyo.

Matibabu hayo yanafanyika kwa kutumia mtambo wa Cathlab ambapo mgonjwa anatobolewa tundu dogo katika paja ambalo linapitishwa vifaa maalum vya kuzibua mishipa ya damu ya moyo (Stent).

Katika kambi hiyo wataalamu wa afya wa JKCI watapata elimu ya jinsi ya kuzibua mishipa ya damu ya moyo ambayo imeziba kwa kiwango kikubwa.

Jumla ya wagonjwa 15 ambao mishipa yao ya damu mmoja hadi mitatu imeziba wanatarajiwa kutibiwa  katika kambi hiyo iliyoanza leo tarehe 23 hadi  25/4/2019. Hadi sasa wagonjwa watano wameshatibiwa na hali zao zinaendelea vizuri.

Imetolewa na:

Anna Nkinda
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete


Hivyo makala WAGONJWA 15 AMBAO MISHIPA YA DAMU YA MOYO IMEZIBA KWA KIWANGO KIKUBWA KUPATA MATIBABU KATIKA KAMBI MAALUM YA KUZIBUA MISHIPA YA DAMU YA MOYO

yaani makala yote WAGONJWA 15 AMBAO MISHIPA YA DAMU YA MOYO IMEZIBA KWA KIWANGO KIKUBWA KUPATA MATIBABU KATIKA KAMBI MAALUM YA KUZIBUA MISHIPA YA DAMU YA MOYO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAGONJWA 15 AMBAO MISHIPA YA DAMU YA MOYO IMEZIBA KWA KIWANGO KIKUBWA KUPATA MATIBABU KATIKA KAMBI MAALUM YA KUZIBUA MISHIPA YA DAMU YA MOYO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/wagonjwa-15-ambao-mishipa-ya-damu-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAGONJWA 15 AMBAO MISHIPA YA DAMU YA MOYO IMEZIBA KWA KIWANGO KIKUBWA KUPATA MATIBABU KATIKA KAMBI MAALUM YA KUZIBUA MISHIPA YA DAMU YA MOYO"

Post a Comment