ELIM MSINGI KUENDELEA KWA MIAKA7

ELIM MSINGI KUENDELEA KWA MIAKA7 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ELIM MSINGI KUENDELEA KWA MIAKA7, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ELIM MSINGI KUENDELEA KWA MIAKA7
kiungo : ELIM MSINGI KUENDELEA KWA MIAKA7

soma pia


ELIM MSINGI KUENDELEA KWA MIAKA7

JOSEPH MPANGALA -MTWARA.

Serikali imesema Imefuta Mpango wa Kufanya Elimu ya Msingi Kuishia darasa la Sita Kutokana na Kuonekana Mfumo wa Kuishia Darasa la Saba Hauna matatizo Yoyote na Umeendelea Kufanya Vizuri kwa Wanaomaliza.

Hayo yamesemwa na Naibu waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha mara baada ya Kumaliza kutembelea Chuo cha Ualimu Kitangali Kilichopo Wilaya ya Newala Mkoani Mtwara.Ole Nasha Amesema Mpango wa Elim ya Msingi Kuishia darasa la Sita Ulikuwepo lakini baada ya Kupokea mawazo Wameamua Kuacha kama Ilivyo.

“Kulikuwa na Mpango wa kujaribu kufanya sasa Elimu ya msingi iishie darasa la Sita iwe miaka sita lakini kwa sasa hakuna huo Mpango tumerudi kwenye mfumo wetu wa kawaida kwa sababu moja tu hakuna kitu kilicho haribika, kila mtu aliyesoma Nchi hii amesoma kwa mfumo ule hatujaona kama unamapungufu yoyote kwa hiyo tutaendelea na utaratibu wetu wa Miaka Saba”amesema Ole Nasha

Aidha Naibu waziri amewataka Makandarasi wanaojenga Katika Mradi wa Chuo Cha Kitangali Kuhakikisha wanamalizia Ujenzi Pindi watakapo pata Pesa Kutoka serikalini.

“Mimi ninaloondoka nalo hapa ni kwenda kuhakikisha kwamba Fedha Yaani Certificate hizo ambazo zimetoka karibuni kwamba zinalipwa mapema, Rai yangu kwenu Jamani Mradi huu umechukua muda mrefu,karibia miaka miwili kwa hiyo fedha zikilipwa kila mmoja ajitahidi huu Mradi sasa uishe na ukabidhiwe ili lengoletu lile na chuo kuweza kudahili Wanafunzi wengi zaidi Liweze Kufikia”Amesema Ole Nasha..

Mradi wa Ujenzi wa Chuo cha Ualimu kitangali Unagharimu Shilingi billioni 8 lakini mpaka sasa Wakandarasi wamekwisha Pewa Shilingi Billion 3.2 jambo ambalo limepelekea Mradi huo Kuchukua Miaka 2 Kushindwa Kumalizika.
Kulia Naibu waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha akiwa na Mkuu wa Chuo Cha mafunzo ya Ufundi Stadi VETA Mtwara Samweli Kibehele wakati wa ziara ya kutembelea Chuo hicho kwa lengo la kutazama mazingira yanayotumika kufundishia Wanafunzi wa VETA. 
Naibu waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha akipewa maelezo ya Mradi wa Ujenzi wa Chuo Cha Ualimu Kitangali na Mshauri wa Ujenzi Nicodemus Mgaya katika ziara yake ya kutazama Maendeleo ya Ujenzi Huo.
Naibu waziri wa Elim Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha Akiongea na wanafunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchii FDC ambacho kimeanzishwa mwaka 1975 ambacho kinafundisha masomo ya Umeme,Ufundi wa Magari pamoja na Ushonaji.


Hivyo makala ELIM MSINGI KUENDELEA KWA MIAKA7

yaani makala yote ELIM MSINGI KUENDELEA KWA MIAKA7 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ELIM MSINGI KUENDELEA KWA MIAKA7 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/elim-msingi-kuendelea-kwa-miaka7.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "ELIM MSINGI KUENDELEA KWA MIAKA7"

Post a Comment