uzinduzi wa soko la Nakapanya na Namakambale wilayani Tunduru mkoani Ruvuma

uzinduzi wa soko la Nakapanya na Namakambale wilayani Tunduru mkoani Ruvuma - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa uzinduzi wa soko la Nakapanya na Namakambale wilayani Tunduru mkoani Ruvuma, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : uzinduzi wa soko la Nakapanya na Namakambale wilayani Tunduru mkoani Ruvuma
kiungo : uzinduzi wa soko la Nakapanya na Namakambale wilayani Tunduru mkoani Ruvuma

soma pia


uzinduzi wa soko la Nakapanya na Namakambale wilayani Tunduru mkoani Ruvuma

 Wakazi wa Kijiji cha Nakapanya na Namakambale wilayani Tunduru mkoani Ruvuma hivi karibuni wakimsikiliza kaimu mkuu wa mkoa huo Godfrey Zambi wakati wa uzinduzi wa soko la Nakapanya akiwaomba wakazi hao kuacha malumbano yasiyokuwa na msingi na badala yake kulitunza soko hilo kwa kufanya usafi ili kuvutia wateja na kulinda afya.
 Wakazi wa Kijiji cha Nakapanya na Namakambale wilayani Tunduru mkoani Ruvuma hivi karibuni wakimsikiliza kaimu mkuu wa mkoa huo Godfrey Zambi wakati wa uzinduzi wa soko la Nakapanya 


Kaimu mkuu wa mkoa huo Godfrey Zambi kati kati hivi karibuni akizungumza na wakazi wa Kijiji cha Nakapanya na Namakambale wilayani Tunduru mkoani Ruvuma wakati wa uzinduzi wa soko la Nakapanya ambapo amewaomba kuacha malumbano yasiyokuwa na msingi na badala yake kulitunza soko hilo kwa kufanya usafi ili kuvutia wateja na kulinda afya kulia ni mkuu wa wilaya hiyo Juma Homera, (kushoto) na Katibu Tawala mkoani humo Profesa Rizik Shemdoe. 
Picha na Fatna Mwinyimkuu wa Globu ya Jamii, Ruvuma.


Hivyo makala uzinduzi wa soko la Nakapanya na Namakambale wilayani Tunduru mkoani Ruvuma

yaani makala yote uzinduzi wa soko la Nakapanya na Namakambale wilayani Tunduru mkoani Ruvuma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala uzinduzi wa soko la Nakapanya na Namakambale wilayani Tunduru mkoani Ruvuma mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/uzinduzi-wa-soko-la-nakapanya-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "uzinduzi wa soko la Nakapanya na Namakambale wilayani Tunduru mkoani Ruvuma"

Post a Comment