RPC ARUSHA ATUA KWA KISHINDO ARUMERU

RPC ARUSHA ATUA KWA KISHINDO ARUMERU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RPC ARUSHA ATUA KWA KISHINDO ARUMERU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RPC ARUSHA ATUA KWA KISHINDO ARUMERU
kiungo : RPC ARUSHA ATUA KWA KISHINDO ARUMERU

soma pia


RPC ARUSHA ATUA KWA KISHINDO ARUMERU


Na Vero Ignatus, Arumeru. 
Mkuu wilaya ya Arumeru Jerry Muro amewahakikishia wananchi wa Arumeru kuwa wataendelea kutatua kero mbalimbali zinazowakabili ikiwemo migogoro ya Ardhi.
Ameyasema hayo wakati akimtambulisha RPC mpya wa mkoa wa Arusha Jonathan Shanna alipotembelea ofisini kwake leo na kuzungumza na wananchi. 

Jerry amesema ofisi yake imeweka mkakati wa kuwasaidia wananchi kwa kuwaajiri wanasheria wanne ambao anawalipa kwa kutoa sehemu ya mshara wake kwaajili ya kuwasaidia  wananchi wasiokuwa na uwezo wa kupata haki zao. 


Wakati huo huo RPCJonathan Shanna  amemuagiza mkuu wa polisi wilaya Arumeru  SSP Hamisi Mwampelwa, kumsimamisha kazi  mara moja mkuu wa kituo cha polisi Kikatiti Inspector Michael Magere kwa kushindwa kusikiliza kero za wananchi wanapo kituoni hapo

Shanna akizungumza na wananchi wa Arumeru amewahakikishia kuwa atawaondoa askari ambao watakiuka taratibu wa jeshi la polisi bila kujali cheo alichonancho. 

 Mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro akizungumza na wananchi wa Arumeru na kumtambukisha RPC mpya mkoa wa Arusha kwa wananchi wa Arumeru ambapo alipata pia nafasi ya kusikiliza kero za wananchi ikiwemo ya Ardhi. Picha na Vero Ignatus. 
Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Jonathan Shanna akizungumza mara baada ya kutambulishwa kwa wananchi wa Arumeru na mkuu wa wilaya hiyo Jerry Muro. 
 Mkuu wa Polisi mkoa wa Arusha Jonathan Shanna akizungumza na wananchi wa Arumeru (hawapo pichani) mara baada kusikiliza changamoto zinazohitajika kutatuliwa na Jeshi la Polisi katika wilaya hiyo.



Hivyo makala RPC ARUSHA ATUA KWA KISHINDO ARUMERU

yaani makala yote RPC ARUSHA ATUA KWA KISHINDO ARUMERU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RPC ARUSHA ATUA KWA KISHINDO ARUMERU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/rpc-arusha-atua-kwa-kishindo-arumeru.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RPC ARUSHA ATUA KWA KISHINDO ARUMERU"

Post a Comment