NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI NA MAWASILIANO,ATASHASTA NDITIYE AFUNGUA BARAZA JIPYA LA WAFANYAKAZI SHIRIKA LA RELI TANZANIA - TRC.

NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI NA MAWASILIANO,ATASHASTA NDITIYE AFUNGUA BARAZA JIPYA LA WAFANYAKAZI SHIRIKA LA RELI TANZANIA - TRC. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI NA MAWASILIANO,ATASHASTA NDITIYE AFUNGUA BARAZA JIPYA LA WAFANYAKAZI SHIRIKA LA RELI TANZANIA - TRC., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI NA MAWASILIANO,ATASHASTA NDITIYE AFUNGUA BARAZA JIPYA LA WAFANYAKAZI SHIRIKA LA RELI TANZANIA - TRC.
kiungo : NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI NA MAWASILIANO,ATASHASTA NDITIYE AFUNGUA BARAZA JIPYA LA WAFANYAKAZI SHIRIKA LA RELI TANZANIA - TRC.

soma pia


NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI NA MAWASILIANO,ATASHASTA NDITIYE AFUNGUA BARAZA JIPYA LA WAFANYAKAZI SHIRIKA LA RELI TANZANIA - TRC.

                                

Naibu waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhe, Mhandisi Atashasta Nditiye afungua rasmi Baraza jipya la wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania - TRC katika ukumbi wa Bandari jijini Dar es Salaam hivi karibuni Aprili 2019.                                                        




Hafla hiyo ya ufunguzi wa Baraza la wafanyakazi TRC kwa mara ya kwanza 
tangu kuunganishwa kwa iliyokuwa Kampuni ya Reli Tanzania – TRL na Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli – RAHCO na kuanzishwa TRC.

Baraza jipya la wafanyakazi lina jukumu la kusimamia na kutetea maslahi ya wafanyakazi kupitia wawakilishi kutoka idara na vitengo vya taasisi pamoja na wajumbe wa kamati tendaji wanaotokana na wajumbe wa baraza.

kulingana na katiba ya baraza na taratibu za kisheria Baraza lina kazi ya kupitia na kutoa maoni na kuboresha utendaji wa Shirika,pia baraza ni chombo cha kuleta upendo na umoja baina ya wafanyakazi. 

Mgeni rasmi wa ufunguzi wa Baraza hilo naibu waziri Mhe. Atashasta Nditiye amelipongeza Shirika la Reli Tanzania kwa kufanya uamuzi huo wa kuundwa Baraza jipya na kuwataka wajumbe kulifanya Baraza kama sehemu wa kuwawakilisha wafanyakazi kwa lengo la kutatua matatizo changamoto na kuleta tija katika Shirika. 

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania - TRC alisema kuwa serikali inafuatilia Mali za Shirika ambazo zinamilikiwa na watu binafsi wamejibinafisha kwa njia zisizo halali na kuomba wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania kushirikiana katika kutoa taarifa sahihi ili rasilimali hizo zirudi kuongeza mapato kusaidia kuendesha Shirika ikiwemo kuinua maslahi ya wafanyakazi.


Naibu waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhe, Mhandisi Atashasta Nditiye akifungua rasmi Baraza jipya la wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania - TRC katika ukumbi wa Bandari jijini Dar es Salaam hivi karibuni Aprili 2019.
Picha tofauti za matukio katika Hafla ya ufunguzi wa Baraza la kwanza la wafanyakazi TRC tangu kuunganishwa kwa kampuni mbili zilizokua TRC,yaani Kampuni ya Reli Tanzania(TRL) na kampuni hodhi ya Reli (RAHCO) 



Hivyo makala NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI NA MAWASILIANO,ATASHASTA NDITIYE AFUNGUA BARAZA JIPYA LA WAFANYAKAZI SHIRIKA LA RELI TANZANIA - TRC.

yaani makala yote NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI NA MAWASILIANO,ATASHASTA NDITIYE AFUNGUA BARAZA JIPYA LA WAFANYAKAZI SHIRIKA LA RELI TANZANIA - TRC. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI NA MAWASILIANO,ATASHASTA NDITIYE AFUNGUA BARAZA JIPYA LA WAFANYAKAZI SHIRIKA LA RELI TANZANIA - TRC. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/naibu-waziri-wa-uchukuzi-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI NA MAWASILIANO,ATASHASTA NDITIYE AFUNGUA BARAZA JIPYA LA WAFANYAKAZI SHIRIKA LA RELI TANZANIA - TRC."

Post a Comment