Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma afariki dunia leo

Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma afariki dunia leo - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma afariki dunia leo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma afariki dunia leo
kiungo : Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma afariki dunia leo

soma pia


Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma afariki dunia leo

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu amefariki dunia leo saa nne asubuhi katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)

Mdogo wa marehemu, Shaibu Mwambungu amesema kaka yake alifariki dunia leo asubuhi baada ya hali yake kubadilika ghafla akiwa hospitalini hapo.

Shaib amesema taratibu za mazishi zitatolewa baadaye ambapo kwa sasa anajiandaa kusafiri kutoka Songea kuja jijini Dar es salam kwa ajili ya mazishi.


Hivyo makala Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma afariki dunia leo

yaani makala yote Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma afariki dunia leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma afariki dunia leo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/aliyewahi-kuwa-mkuu-wa-mkoa-wa-ruvuma.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma afariki dunia leo"

Post a Comment