MAKABIDHIANO YA TUZO BIKOSPORTS

MAKABIDHIANO YA TUZO BIKOSPORTS - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKABIDHIANO YA TUZO BIKOSPORTS, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKABIDHIANO YA TUZO BIKOSPORTS
kiungo : MAKABIDHIANO YA TUZO BIKOSPORTS

soma pia


MAKABIDHIANO YA TUZO BIKOSPORTS

 Msemaji wa Bikosports, Geoffrey Lea, kushoto akimpongeza Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems, kulia baada ya kumkabidhi zawadi yake ya kuwa Kocha Bora wa mwezi Machi, ambapo tuzo hizo ambazo wadhamini Wakuu ni Kampuni ya kubashiri michezo mbalimbali ya Biko Sports.
 Msemaji wa Bikosports Geoffrey Lea kushoto akimpongeza mshambuliaji mahiri wa Simba SC, John Bocco, baada ya kuibuka mchezaji bora wa mwezi Machi, ambapo tuzo hizo zinadhaminiwa na Kampuni ya kubashiri matokeo ya michezo mbalimbali ya Bikosports.
 Kocha Mkuu wa Simba SC, Mbelgiji Patrick Aussems kulia akiwa na mshambuliaji wake John Bocco, ambaye yeye amepewa zawadi yake ya kuwa Kocha bora wa mwezi Machi, huku Bocco akitangazwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Machi.


Hivyo makala MAKABIDHIANO YA TUZO BIKOSPORTS

yaani makala yote MAKABIDHIANO YA TUZO BIKOSPORTS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKABIDHIANO YA TUZO BIKOSPORTS mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/makabidhiano-ya-tuzo-bikosports.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKABIDHIANO YA TUZO BIKOSPORTS"

Post a Comment