title : RAIS DKT MAGUFULI AMJULIA HALI MZEE KINGUNGE HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI
kiungo : RAIS DKT MAGUFULI AMJULIA HALI MZEE KINGUNGE HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI
RAIS DKT MAGUFULI AMJULIA HALI MZEE KINGUNGE HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI
Rais Magufuli amjulia hali Mzee Kingunge Ngombale Mwiru aliyelazwa katika wodi ya Mwaisela, hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam.
Mzee Kingunge amelazwa hospitalini hapo akitibiwa majeraha baada ya kushambuliwa na mbwa nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam.
Hali ya Mzee Kingunge inaendelea kuimarika
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AMJULIA HALI MZEE KINGUNGE HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AMJULIA HALI MZEE KINGUNGE HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AMJULIA HALI MZEE KINGUNGE HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/rais-dkt-magufuli-amjulia-hali-mzee.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AMJULIA HALI MZEE KINGUNGE HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI"
Post a Comment