MABONDIA HUSSEIN PENDEZA NA JUMA RAMADHAN KUZICHAPA SIKU YA PASAKA

MABONDIA HUSSEIN PENDEZA NA JUMA RAMADHAN KUZICHAPA SIKU YA PASAKA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MABONDIA HUSSEIN PENDEZA NA JUMA RAMADHAN KUZICHAPA SIKU YA PASAKA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MABONDIA HUSSEIN PENDEZA NA JUMA RAMADHAN KUZICHAPA SIKU YA PASAKA
kiungo : MABONDIA HUSSEIN PENDEZA NA JUMA RAMADHAN KUZICHAPA SIKU YA PASAKA

soma pia


MABONDIA HUSSEIN PENDEZA NA JUMA RAMADHAN KUZICHAPA SIKU YA PASAKA

 Na Ripota Wetu,Globu ya jamii

MABONDIA Hussein Pendeza na Juma Ramadhani 'Choki' wametamba kila mmoja kwa wakati wake kuibuka na ushindi katika mpambano kati yao ambao unatarajia kufanyika Aprili 21 mwaka huu ambayo itakuwa Sikukuu ya Pasaka.

Akizungumzia mpambano huo ambao utafanyika ukumbi wa CCM Mwinyimkuu uliopo Magomeni Mapipa jijini Dar es Salaam Juma Ramadhan 'Choki' amesema ana uhakika wa kushinda kwani hivi sasa yupo fiti mpaka mwenyewe anajiogopa kutokana na mazoezi ambayo ameyafanya kujiandaa na pambano hilo.

"Kwa namna ambavyo nimejiandaa , sio huyo tu Pendeza, yoyote ambaye atakuja mbele yangu atapokea kichapo tena cha mbwa mwizi.Hivyo wakae chonjo vingenevyo nitawararuaraua na sijaona katika uzito wangu wangu wa kilogramu wa kunisumbua kwani najiamini na ninajimini kwa mazoezi ambayo nimeyafanya,"amesema.

Hivyo Choki amewaomba mashabiki wake wa Manzese,Mabibo, Mbagala Kuu na Mtoni Kijichi kujitokeza kwa wingi siku hiyo ili kumpa sapoti na anataka kuweka historia ya aina yake kwenye mpambano huo.

 Kwa upande wake bondia Pendeza amesema kuwa atahakikisha anampiga Choki kama begi kwani kwake ni mtoto mdogo sana katika ulimwengu wa masumbwi na kipigo ambacho atampatia atajuta kuzaliwa kwa kipigi ambacho atakipata.Pia ameongeza anawaomba mashabiki wake wote na wapenzi wa ngumi kujitokeza kwa wingi siku hiyo kuangalia jinsi anavyo msambaratisha mpinzani wake.

Mpambano huo umeandaliwa na Promota wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' ambapo amefafanua maandalizi yote muhimu yameshafanyika ."Pambano litafanyika Siku ya Sikukuu ya Pasaka,"amesema Super D.

Pia amesema bondia mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anayefanya shughuli zake nchini Australia  ndiyo aliyosababisha mabondia hao wazipige siku hiyo kwa kuwa vijana wanatakiwa kuendeleza rekodi zao za masumbwi kila wakati ndio maana akaongeza nguvu ili mpambano uho ufanyike

Super D ameongeza mbali na pambano hilo siku hiyo kutakuwa na mapambano mengine yatakayokuwa yanafanyika siku hiyo ambapo bondia  Idd Mkwera ataoneshana umwamba na Rojas Masamu wakati Shomari Milundi ataoneshana umwamba na Bakari Mbede.

Wakati Ibrahimu Makubi atavaana na Haruna Ndalo na Ramadhani Mbegu 'Migwede' atapambana na Rashidi Mnyagatwa na Salum Tandu zidi ya Gerald Mkude na Sunday Kiwale 'Moro Best' atalindima na Luckman Ramadhani Vicent Mbilinyi na Shabani Mbogo Hussein Shemdoe na Shehe Azizi na Ahmadi Kombo atakumbana na Sandali Nyambala

Mapambano yote hayo yanaletwa yanafanyika chini ya kampuni tanzu ya kizalendo ya Super D Boxing Promotion ambayo ipo nchini Tanzania kwa ajili ya kuinua vipaji ya vijana mbalimbali ili kuendeleza vipaji vyao pendwa na kupitia kampuni ya Super D Promotion imejizatiti kuweka angalau pambano moja kila baada ya miezi milili ili kuwasaidia vijana kukuza vipaji vyao na kujiendeleza kupitia mchezo uho wa masumbwi nchini. 


Hivyo makala MABONDIA HUSSEIN PENDEZA NA JUMA RAMADHAN KUZICHAPA SIKU YA PASAKA

yaani makala yote MABONDIA HUSSEIN PENDEZA NA JUMA RAMADHAN KUZICHAPA SIKU YA PASAKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MABONDIA HUSSEIN PENDEZA NA JUMA RAMADHAN KUZICHAPA SIKU YA PASAKA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/mabondia-hussein-pendeza-na-juma.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MABONDIA HUSSEIN PENDEZA NA JUMA RAMADHAN KUZICHAPA SIKU YA PASAKA"

Post a Comment