title : RAIS WA MISRI AWASILI NCHINI LEO KWA ZAIRA YA KIKAZI YA SIKU MBILI
kiungo : RAIS WA MISRI AWASILI NCHINI LEO KWA ZAIRA YA KIKAZI YA SIKU MBILI
RAIS WA MISRI AWASILI NCHINI LEO KWA ZAIRA YA KIKAZI YA SIKU MBILI
Rais wa Jamhuri ya Nchi za Kiarabu ya Misri, Mhe. Abdel Fattah El-Sisi akishuka kwenye ndege yake baada ya kuwasili nchini mchana huu, kwa ziara ya kikazi ya siku mbili na kulakiwa na mwenyeji wake, Rais Dkt. John Pombe Magufuli.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mgeni wake, Rais wa Jamhuri ya Nchi za Kiarabu ya Misri, Mhe. Abdel Fattah El-Sisi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa J.K Nyerere, Jijini Dar es salaam mchana huu, ambapo atakuwa nchini kwa ziara ya siku mbili Agosti 14-15, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Nchi za Kiarabu ya Misri Mhe. Abdel Fattah el-Sisi akisalimiana na mwenyeji wake Rais Dkt John Pombe Magufuli mara baada ya kuwasili nchini hivi punde kwa ziara rasmi ya Kiserikali ya siku mbili, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam
Hivyo makala RAIS WA MISRI AWASILI NCHINI LEO KWA ZAIRA YA KIKAZI YA SIKU MBILI
yaani makala yote RAIS WA MISRI AWASILI NCHINI LEO KWA ZAIRA YA KIKAZI YA SIKU MBILI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA MISRI AWASILI NCHINI LEO KWA ZAIRA YA KIKAZI YA SIKU MBILI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/rais-wa-misri-awasili-nchini-leo-kwa.html
0 Response to "RAIS WA MISRI AWASILI NCHINI LEO KWA ZAIRA YA KIKAZI YA SIKU MBILI"
Post a Comment