title : Kutoka Viwanja Vya Bunge Dodoma leo.
kiungo : Kutoka Viwanja Vya Bunge Dodoma leo.
Kutoka Viwanja Vya Bunge Dodoma leo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na wabunge wakifurahia katika mazungumzo na Peter Mollel maarufu kwa jina la Pierre Konki Liquid (katikati) kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 3, 2019. Wengine kutoka kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum, Mariamu Ditopile, Mbunge wa Viti Maalum, Munde Tambwe, Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais na Mbunge wa Singida Mjini, Mussa Sima, Mbunge wa Kiembesamaki, Ibrahim Raza na Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala Kutoka Viwanja Vya Bunge Dodoma leo.
yaani makala yote Kutoka Viwanja Vya Bunge Dodoma leo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kutoka Viwanja Vya Bunge Dodoma leo. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/kutoka-viwanja-vya-bunge-dodoma-leo.html
0 Response to "Kutoka Viwanja Vya Bunge Dodoma leo."
Post a Comment