title : AIRTEL WATOA NAFASI 100 ZA MASOMO
kiungo : AIRTEL WATOA NAFASI 100 ZA MASOMO
AIRTEL WATOA NAFASI 100 ZA MASOMO
Airtel kupitia UFADHILI WA AIRTEL TUNAKUJALI tunatoa nafasi kwa vijana 100 kusoma masomo ya ufundi kutoka chuo ya VETA kupitia simu ya mkononi BURE. Masomo haya yatatolewa kwa njia ya simu ya mkononi kupitia VSOMO App inayopatikana Google Play Store Bure.Mafunzo ya Vitendo yatatolewa katika vyuo vitatu vya VETA;
1. VETA KIPAWA- Dar es salaam
2. VETA Chang’ombe- Dar es salaam
3. VETA Dodoma- Dodoma
Masomo ya Ufundi yatolewayo ni;
1. Ufundi Umeme wa Majumbani
2. Ufundi Bomba
3. Urembo- Saluni za Kike
4. Upishi wa Vyakula na Kuhudumia Wateja (Catering Service)
5. Uokaji mikate na Vitafunwa
Kujisajili, Pakua Application ya VSOMO kupitia https://goo.gl/Dufimz , bonyeza kitufe cha AIRTEL TUNAKUJALI ili kujisajili.
Kwa maelezo Zaidi;
Huduma Kwa Wateja: 0699 859 572/ 0699 859 573
Facebook Page: https://ift.tt/2UgBFLt
Instagram Page: https://ift.tt/2FKq0u3
Website: https://ift.tt/2UgBG1Z
Hivyo makala AIRTEL WATOA NAFASI 100 ZA MASOMO
yaani makala yote AIRTEL WATOA NAFASI 100 ZA MASOMO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala AIRTEL WATOA NAFASI 100 ZA MASOMO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/airtel-watoa-nafasi-100-za-masomo.html
0 Response to "AIRTEL WATOA NAFASI 100 ZA MASOMO"
Post a Comment