RC MAKONDA KUUNDA MFUKO WA KUWASOMESHA WASICHANA 100 BURE KUANZIA KIDATO CHA TANO HADI SITA

RC MAKONDA KUUNDA MFUKO WA KUWASOMESHA WASICHANA 100 BURE KUANZIA KIDATO CHA TANO HADI SITA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC MAKONDA KUUNDA MFUKO WA KUWASOMESHA WASICHANA 100 BURE KUANZIA KIDATO CHA TANO HADI SITA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC MAKONDA KUUNDA MFUKO WA KUWASOMESHA WASICHANA 100 BURE KUANZIA KIDATO CHA TANO HADI SITA
kiungo : RC MAKONDA KUUNDA MFUKO WA KUWASOMESHA WASICHANA 100 BURE KUANZIA KIDATO CHA TANO HADI SITA

soma pia


RC MAKONDA KUUNDA MFUKO WA KUWASOMESHA WASICHANA 100 BURE KUANZIA KIDATO CHA TANO HADI SITA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda katika kuwawezesha watoto wa kike waliokuwa wanafaulu vizuri masomo ya sayansi lakini wanashindwa kuendelea na masomo, kwasababu ya ugumu wa maisha ameamua kuunda mfuko maalumu utakaokuwa na jukumu la kusomesha wasichana 100 Bure kila mwaka kuanzia kidato cha tano hadi sita.

RC Makonda amesema walengwa wa Mfuko huo ni watoto wa kike waliofaulu vizuri masomo ya sayansi licha ya kutokea kwenye familia duni ambazo ni yatima, watoto wa Mamantilie, kondakta,wavuvi na ombaomba.

Aidha RC Makonda lengo la kujikita kwenye masomo ya sayansi ni kuzalisha Madakrari bingwa wanawake, Marubani, wabobezi wa computer, wataalamu wa gesi na fani nyinginezo ambazo anaamini ukimkomboa mwanamke umeikomboa jamii.

Pamoja na hayo RC Makonda amesema waliopata fursa hiyo watagharamiwa kuanzia Ada, Madaftari, Bag,Vitabu na pesa ya kujikimu ili wabaki ni jukumu moja la kusoma na kufaulu. 

Mhe. Makonda amesema hatua hiyo inaenda sambamba na kuunga mkono jitiada za Rais Magufuli kupambana na umaskini kwa kuhakikisha watoto wa maskini wanasoma bure ili waje kuzisaidia familia zao.

RC Makonda anaamini kuwa kama mtoto wa kike ameweza kufaulu masomo na kuvishinda vishawishi vya mafataki wanaotumia pesa au lifti kuwarubuni na kuwapa ujauzito, basi mtoto huyo akiendelezwa anaweza kuwa mtu mkubwa nchini na nje ya nchi.
RC Paul Makonda


Hivyo makala RC MAKONDA KUUNDA MFUKO WA KUWASOMESHA WASICHANA 100 BURE KUANZIA KIDATO CHA TANO HADI SITA

yaani makala yote RC MAKONDA KUUNDA MFUKO WA KUWASOMESHA WASICHANA 100 BURE KUANZIA KIDATO CHA TANO HADI SITA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA KUUNDA MFUKO WA KUWASOMESHA WASICHANA 100 BURE KUANZIA KIDATO CHA TANO HADI SITA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/rc-makonda-kuunda-mfuko-wa-kuwasomesha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RC MAKONDA KUUNDA MFUKO WA KUWASOMESHA WASICHANA 100 BURE KUANZIA KIDATO CHA TANO HADI SITA"

Post a Comment