title : Rais Magufuli:niligoma Kuongea na Waziri Mwakyembe Baada Ya Taifa Stars Kufungwa Na Lesotho
kiungo : Rais Magufuli:niligoma Kuongea na Waziri Mwakyembe Baada Ya Taifa Stars Kufungwa Na Lesotho
Rais Magufuli:niligoma Kuongea na Waziri Mwakyembe Baada Ya Taifa Stars Kufungwa Na Lesotho

Rais Magufuli amefunga hayo wakati akizungumza na wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Kamati ya Uhamasishaji ya timu ya Taifa pamoja na Bondia Hassani Mwakinyo ikiwa ni siku moja baada ya timu ya taifa kufuzu michuano ya Mataifa Afrika.
"Tangu tulipofungwa na Lesotho na huku Mil. 50 zangu zikiwa zimeliwa iliniuma kweli kweli, sikuwahi kuongea na Mwakyembe tangu siku ile hadi leo nilipompigia, aliniandikia meseji kuwa tuwe na Kombe la Magufuli, kama ilivyo Kagame Cup, sikumjibu.
“Kabla ya mchezo ule nilizungumza naye akiwa Afrika Kusini akaniambia timu iko safi na mchezo huu lazima tushinde na matokeo yake wakafungwa.”
“Nilikuwa nikiangalia ile mechi naona kuna mapungufu, iliniuma kweli, kwa sababu inaniumiza kweli kwa nchi kama Tanzania yenye watu milioni 55 mnakwenda kufungwa na nchi yenye watu milioni 2,” amesema
“Kabla ya mchezo ule nilizungumza naye akiwa Afrika Kusini akaniambia timu iko safi na mchezo huu lazima tushinde na matokeo yake wakafungwa.”
“Nilikuwa nikiangalia ile mechi naona kuna mapungufu, iliniuma kweli, kwa sababu inaniumiza kweli kwa nchi kama Tanzania yenye watu milioni 55 mnakwenda kufungwa na nchi yenye watu milioni 2,” amesema
Mamilioni ya watanzania jana walikuwa na furaha kufuatia timu ya taifa ya Tanzania kuichapa Uganda kwa mabao 3 kwa sifuri na kuifanya Tanzania kuwa miongoni mwa mataifa manne yaliyofuzu fainali za AFCON zitakazofanyika Juni 2019, nchini Misri.
Hivyo makala Rais Magufuli:niligoma Kuongea na Waziri Mwakyembe Baada Ya Taifa Stars Kufungwa Na Lesotho
yaani makala yote Rais Magufuli:niligoma Kuongea na Waziri Mwakyembe Baada Ya Taifa Stars Kufungwa Na Lesotho Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Magufuli:niligoma Kuongea na Waziri Mwakyembe Baada Ya Taifa Stars Kufungwa Na Lesotho mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/rais-magufuliniligoma-kuongea-na-waziri.html
0 Response to "Rais Magufuli:niligoma Kuongea na Waziri Mwakyembe Baada Ya Taifa Stars Kufungwa Na Lesotho"
Post a Comment