PROF. MBARAWA - NATAKA UFUATILIAJI NA KASI ZAIDI SEKTA YA MAJI

PROF. MBARAWA - NATAKA UFUATILIAJI NA KASI ZAIDI SEKTA YA MAJI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa PROF. MBARAWA - NATAKA UFUATILIAJI NA KASI ZAIDI SEKTA YA MAJI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : PROF. MBARAWA - NATAKA UFUATILIAJI NA KASI ZAIDI SEKTA YA MAJI
kiungo : PROF. MBARAWA - NATAKA UFUATILIAJI NA KASI ZAIDI SEKTA YA MAJI

soma pia


PROF. MBARAWA - NATAKA UFUATILIAJI NA KASI ZAIDI SEKTA YA MAJI

 Waziri wa Maji Prof. Makame Mbarawa (Mb) akiongea katika Baraza la Wafanyakazi la Wizara ya Maji jijini Dodoma. Waziri Mbarawa amewataka wafanyakazi kuongeza kasi, ubunifu na ufuatiliaji wa kazi mbalimbali katika sekta ya maji. Kulia ni Katibu Mkuu Prof. Kitila Mkumbo
 Katibu Mkuu Wizara ya Maji Prof. Kitila Mkumbo akiongea katika Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Maji. Prof. Kitila amesisitiza umuhimu wa ushirikishwaji wa Wafanyakazi katika mipango kwani wao ndio watekelezaji wakuu. Baraza hilo limefanyika katika ukumbi wa Wizara ya Maji jijini Dodoma.
Sehemu ya Wafanyakazi wa Wizara ya Maji waliohudhuria Baraza la Wafanyakazi wakiwasikiliza viongozi wa wizara wakati wa kikao cha Baraza kilichofanyika jijini Dodoma.


Hivyo makala PROF. MBARAWA - NATAKA UFUATILIAJI NA KASI ZAIDI SEKTA YA MAJI

yaani makala yote PROF. MBARAWA - NATAKA UFUATILIAJI NA KASI ZAIDI SEKTA YA MAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala PROF. MBARAWA - NATAKA UFUATILIAJI NA KASI ZAIDI SEKTA YA MAJI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/prof-mbarawa-nataka-ufuatiliaji-na-kasi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "PROF. MBARAWA - NATAKA UFUATILIAJI NA KASI ZAIDI SEKTA YA MAJI"

Post a Comment