title : Benki za TPB na Mwalimu Commercial Bank zasaini makubaliano
kiungo : Benki za TPB na Mwalimu Commercial Bank zasaini makubaliano
Benki za TPB na Mwalimu Commercial Bank zasaini makubaliano
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TPB, Sabasaba Moshingi (wa pili kushoto) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mwalimu Commercial Bank (MCB),Ronald Manongi, wakibadilishana hati za makubaliano jijini Dar es Salaam leo ambapo wateja wa benki ya upande mmoja wataweza kupata huduma za kibenki katika matawi ya benki ya upande mwingine.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TPB, Sabasaba Moshingi ( kushoto waliokaa) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mwalimu Commercial Bank (MCB),Ronald Manongi, wakisaini hati za makubaliano jijini Dar es Salaam leo ambapo wateja wa benki ya upande mmoja wataweza kupata huduma za kibenki katika matawi ya benki ya upande mwingine.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TPB, Sabasaba Moshingi (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari katika hafla ya utiaji saini makubaliano ya ushirikiano kati ya TPB na Mwalimu Commercial Bank (MCB), ambapo wateja wa benki ya upande mmoja wataweza kupata huduma za kibenki katika matawi ya benki ya upande mwingine. Kushoto kwake ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Mwalimu, Ronald Manongi .
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mwalimu Commercial Bank (MCB), Ronald Manongi (kulia), akizungumza na waandishi wa habari katika hafla ya utiaji saini makubaliano ya ushirikiano kati ya MCB na Benki ya TBP ambapo wateja wa benki ya upande mmoja wataweza kupata huduma za kibenki katika matawi ya benki ya upande mwingine. Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa TPB, Sabasaba Moshingi.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TPB, Sabasaba Moshingi (wa tano kushoto) akishikana mikono na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mwalimu Commercial Bank (MCB),Ronald Manongi mara baada ya kumalizika kwa tukio la utiaji saini makubaliano hayo. Pamoja nao ni baadhi ya maofisa wa benki za TPB na MCB.
Hivyo makala Benki za TPB na Mwalimu Commercial Bank zasaini makubaliano
yaani makala yote Benki za TPB na Mwalimu Commercial Bank zasaini makubaliano Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Benki za TPB na Mwalimu Commercial Bank zasaini makubaliano mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/benki-za-tpb-na-mwalimu-commercial-bank.html
0 Response to "Benki za TPB na Mwalimu Commercial Bank zasaini makubaliano"
Post a Comment