title : DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA HABARI,UTALII,UTAMADUNI NA MICHEZO
kiungo : DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA HABARI,UTALII,UTAMADUNI NA MICHEZO
DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA HABARI,UTALII,UTAMADUNI NA MICHEZO
Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Mhe.Rashid Ali Juma (katikati) alipokuwa akisoma taarifa yake katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 cha Uongozi wa Wizara hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Baadhi ya Viongozi wa Idara mbali mbali zilizo chini ya Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),alipozungumza na Uongozi wa Wizara hiyo leo katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Nd,Omar Hassan Omar (king)(kushoto) alipokuwa akifanya uchambuzi wa Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 cha Wizara ya hiyo,wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Hivyo makala DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA HABARI,UTALII,UTAMADUNI NA MICHEZO
yaani makala yote DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA HABARI,UTALII,UTAMADUNI NA MICHEZO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA HABARI,UTALII,UTAMADUNI NA MICHEZO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/dkshein-azungumza-na-uongozi-wa-wizara_93.html
0 Response to "DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA HABARI,UTALII,UTAMADUNI NA MICHEZO"
Post a Comment