IGP SIRRO AKUTANA NA KUWAPONGEZA ASKARI WALIOSHIRIKI KATIKA MICHEZO YA MAJESHI TANZANIA

IGP SIRRO AKUTANA NA KUWAPONGEZA ASKARI WALIOSHIRIKI KATIKA MICHEZO YA MAJESHI TANZANIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IGP SIRRO AKUTANA NA KUWAPONGEZA ASKARI WALIOSHIRIKI KATIKA MICHEZO YA MAJESHI TANZANIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IGP SIRRO AKUTANA NA KUWAPONGEZA ASKARI WALIOSHIRIKI KATIKA MICHEZO YA MAJESHI TANZANIA
kiungo : IGP SIRRO AKUTANA NA KUWAPONGEZA ASKARI WALIOSHIRIKI KATIKA MICHEZO YA MAJESHI TANZANIA

soma pia


IGP SIRRO AKUTANA NA KUWAPONGEZA ASKARI WALIOSHIRIKI KATIKA MICHEZO YA MAJESHI TANZANIA

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa michezo mbalimbali walioshiriki katika mashindano ya michezo ya majeshi (BAMMATA). IGP alikutana na wanamichezo hao Makao Makuu ya Polisi kuwapongeza na kuwatia moyo ili wafanye vizuru zaidi katika michezo ijayo. PICHA NA JESHI LA POLISI.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akimvisha nishani ya dhahabu SGT Kenya wa kikosi cha kutuliza ghasia alioipata wakati wa mashindano ya majeshi (BAMMATA) hivi karibuni katika uwanja wa Uhuru jijini dare s salaam.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akikabidhiwa moja ya makombe yaliyopatikana katika michezo ya majeshi (BAMMATA) katika mashindano yaliyomalizika hivi karibuni katika uwanja wa taifa jiji Dar es Salaam. Anayemkabidhi kombe ni Mrakibu SP Mtafi, Afisa Mnadhimu wa Kikosi cha Kutuliza.


Hivyo makala IGP SIRRO AKUTANA NA KUWAPONGEZA ASKARI WALIOSHIRIKI KATIKA MICHEZO YA MAJESHI TANZANIA

yaani makala yote IGP SIRRO AKUTANA NA KUWAPONGEZA ASKARI WALIOSHIRIKI KATIKA MICHEZO YA MAJESHI TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AKUTANA NA KUWAPONGEZA ASKARI WALIOSHIRIKI KATIKA MICHEZO YA MAJESHI TANZANIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/igp-sirro-akutana-na-kuwapongeza-askari.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "IGP SIRRO AKUTANA NA KUWAPONGEZA ASKARI WALIOSHIRIKI KATIKA MICHEZO YA MAJESHI TANZANIA"

Post a Comment