Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt. Kilangi atembelea Mahakama ya Afrika ya Haki za Watu na Binadamu

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt. Kilangi atembelea Mahakama ya Afrika ya Haki za Watu na Binadamu - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt. Kilangi atembelea Mahakama ya Afrika ya Haki za Watu na Binadamu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt. Kilangi atembelea Mahakama ya Afrika ya Haki za Watu na Binadamu
kiungo : Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt. Kilangi atembelea Mahakama ya Afrika ya Haki za Watu na Binadamu

soma pia


Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt. Kilangi atembelea Mahakama ya Afrika ya Haki za Watu na Binadamu

 Mwanasheria Mkuu wa Serikali  Dk. Adelardus Kilangi akijadiliana jambo na  Majaji wa Mahakama ya  Haki  ya  Afrika ya   Mashariki  (EACJ) wakati alipoitembelea mahakama jijini Arusha Ijumaa.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Dk, Adelardus Kilangi akiwa katika mazungumzo na  Rais wa Mahakama   ya Haki ya Afrika Mashariki ( EACJ), Mhe Jaji Dk. Emmanuel Ugirashebuja na katika mazungumzo yao Rais wa  EACJ alimweleza Mwanasheria Mkuu kwamba mahakama hiyo imekuwa ikizitegemea  Ofisi za Wanasheria Wakuu ikiwamo  ya Tanzania katika utekelezaji wa Majukumu yake.

 Mwanasheria Mkuu wa  Serikali Mhe. Dk. Adelardus Kilangi akiwa katika mazungumzo na Rais wa  Mahakama   ya Afrika ya Haki za Watu na Binadamu  (AfCHPR) Jaji  Sylvain Ore walipokuta  Jijini  Arusha. Katika mazungumzo yao, Mwanasheria Mkuu wa Serikali aliahidi kushirikiana wa Mahakama hiyo ambapo kwa upande wake Rais wa  AfCHPR alisema mahakama hiyo imekuwa ikipata ushirikiano mzuri kutoka kwa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kupitia kwa Mawakili wa Serikali ambao wamekuwa wakiiwakilisha serikali katika mashauri mbalimbali.. Mwingine katika picha ni Katibu wa Mwanasheria Mkuu, Wakili wa Serikalil Mkuu  Ephery Sedekea.
 Mwanasheria Mkuu wa Serikali akiangalia namna mfumo wa   habari  na mawasiliano wa mahakama hiyo unavyofanya kazi wakati alipoitembelea  Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki  leo Arusha




Hivyo makala Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt. Kilangi atembelea Mahakama ya Afrika ya Haki za Watu na Binadamu

yaani makala yote Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt. Kilangi atembelea Mahakama ya Afrika ya Haki za Watu na Binadamu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt. Kilangi atembelea Mahakama ya Afrika ya Haki za Watu na Binadamu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/mwanasheria-mkuu-wa-serikali-dkt.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt. Kilangi atembelea Mahakama ya Afrika ya Haki za Watu na Binadamu"

Post a Comment