title : Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
kiungo : Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
Makamu wa Rais wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan Kushoto akisalimiana na Kumkaribisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake Ikulu Jijini Dar es salaam.
Mh. Samia Suluhu Hassan Kulia akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi katika Mikutano na Vikao vya kawaida vya kubadilishana mawazo ya kiutendaji Serikalini kati ya Viongozi wa ngazi ya Juu ya Serikali za SMT na SMZ. Picha na – OMPR – ZNZ.
Hivyo makala Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
yaani makala yote Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/makamu-wa-rais-samia-suluhu-hassan.html
0 Response to "Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi"
Post a Comment