title : Diwani KAMALA kumuenzi Ruge kwa Vitendo .
kiungo : Diwani KAMALA kumuenzi Ruge kwa Vitendo .
Diwani KAMALA kumuenzi Ruge kwa Vitendo .
Katika Kumuenzi Marehemu Ruge Mutahaba kwa Vitendo na maisha alokuwa akiyaishi, yakiwemo kusaidia vijana na kuinua vipaji vya Vijana katika sekta mbalimbali, Diwani wa Kata Ijuganyondo iliyopo Manispaa ya Bukoba Al-Masoud Kamala ametangaza kuanzisha Rasmi ligi ya Mpira wa Miguu itayojulikana kama "Ruge Cup"
Diwani Kamala ameyasema hayo katika fainali ya kombe la Wazee lililoandaliwa na Wazee wa Kata ya Kibeta chini ya Mwenyekiti wao Bwana Sadru Nyangasha, ambapo katika Fainali hizo zilizochezwa katika Viwanja vya Shule ya Msingi Kibeta na kuhudhuriwa na wakazi wa kata hiyo na kata jirani, Timu ya Omkituri Fc imeibuka kidedea kwa Ushindi wa Goli 2 kwa 1 dhidi ya Anyama Fc.
Mh. Kamala amesema ili kumuenzi Ruge kupitia Tasnia ya Michezo hususani mpira wa Miguu anaratibu ligi ya Mpira wa Miguu itayoanza hivi Karibuni itakayoitwa Ruge Cup. Katika mashindano hayo ya Kombe la wazee yaliyoshirikisha jumla ya timu sita, Zawadi kutoka kwa Waandaaji Mshindi wa Kwanza kajipatia Kikombe chenye Thamani ya Shilingi Laki Moja, Mbuzi (mnyama) mwenye thamani ya Shilingi laki moja, mshindi wa pili elfu 30, mshindi wa tatu elfu 20, ukiacha zawadi alizotoa Diwani Kamala Pesa taslimu pamoja na mipira miwili.

Nahodha wa Timu ya Omkituri Gerevazi Nyomo akiwa amebeba Kombe la Wazee Mara baada ya kumalizika mchezo wa fainali uliowakutanisha na Anyama Fc, na Kuibuka kwa ushindi wa bao 2 kwa 1.
Pichani Diwani Kamala akisaidiana na Mzee Sadru Nyangasha muaandaji wa mashindano ya Kombe la Wazee, kukabidhi zawadi ya Mbuzi kwa Timu ya Omkituri Fc.

Mbuzi aina ya Beberu mwenye thamani ya Shilingi laki moja aliyetolewa kama zawadi kwa Mshindi wa kwanza katika mashindano ya Kombe la Wazee.

Kombe lenye thamani ya Shilingi laki moja likiwa Mezani kabla ya Kupewa Mshindi wa Mashindano ya Kombe la Wazee timu ya Omkituri Fc.
Hivyo makala Diwani KAMALA kumuenzi Ruge kwa Vitendo .
yaani makala yote Diwani KAMALA kumuenzi Ruge kwa Vitendo . Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Diwani KAMALA kumuenzi Ruge kwa Vitendo . mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/diwani-kamala-kumuenzi-ruge-kwa-vitendo.html
0 Response to "Diwani KAMALA kumuenzi Ruge kwa Vitendo ."
Post a Comment