title : WAZIRI MKUU AKUTANA NA WAJUMBE WA BODI YA MISHAHARA NA MASLAHI KATIKA UTUMISHI WA UMMA
kiungo : WAZIRI MKUU AKUTANA NA WAJUMBE WA BODI YA MISHAHARA NA MASLAHI KATIKA UTUMISHI WA UMMA
WAZIRI MKUU AKUTANA NA WAJUMBE WA BODI YA MISHAHARA NA MASLAHI KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wajumbe wa Bodi ya Mishahara na Maslahi katika Utumishi wa Umma, kwenye Makazi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam, Januari 24, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Mishahara na Maslahi katika Utumishi wa Ummam, kwenye Makazi ya Waziri Mkuu jiji Dar es salaam, Januari 24, 2019. Kutoka kushoto ni Mwanasheria wa Bodi, Dkt. Charles Kato, Katibu Msaidizi wa Bodi, Fortatus Mbiro, Mwenyekiti wa Bodi, Donald Ndagula, Mjumbe wa Bodi, George Mlawa na Katibu Mtendaji wa Tume, Mariam Mwaniulwa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mjumbe wa Bodi ya Mishahara na Maslahi katika Utumishi wa Umma, George Mlawa baada ya mazungumzo na wajumbe wa Bodi hiyo kwenye Makazi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam, Januari 24, 2019. Wengine kutoka kushoto ni Mwanasheria wa Bodi, Dkt. Charles Kato, Katibu Msaidizi wa Bodi, Fortatus Mbiro, Mwenyekiti wa Bodi, Donald Ndagula na Katibu Mtendaji wa Tume, Mariam Mwaniulwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WAZIRI MKUU AKUTANA NA WAJUMBE WA BODI YA MISHAHARA NA MASLAHI KATIKA UTUMISHI WA UMMA
yaani makala yote WAZIRI MKUU AKUTANA NA WAJUMBE WA BODI YA MISHAHARA NA MASLAHI KATIKA UTUMISHI WA UMMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AKUTANA NA WAJUMBE WA BODI YA MISHAHARA NA MASLAHI KATIKA UTUMISHI WA UMMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/waziri-mkuu-akutana-na-wajumbe-wa-bodi.html
0 Response to "WAZIRI MKUU AKUTANA NA WAJUMBE WA BODI YA MISHAHARA NA MASLAHI KATIKA UTUMISHI WA UMMA"
Post a Comment