TAKUKURU YAIOMBA MAHAKAMA KWENDA GEREZANI KUMHOJI MTUHUMIWA ALIYEISABABISHA SERIKALI HASARA YA BILIONI MBILI

TAKUKURU YAIOMBA MAHAKAMA KWENDA GEREZANI KUMHOJI MTUHUMIWA ALIYEISABABISHA SERIKALI HASARA YA BILIONI MBILI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAKUKURU YAIOMBA MAHAKAMA KWENDA GEREZANI KUMHOJI MTUHUMIWA ALIYEISABABISHA SERIKALI HASARA YA BILIONI MBILI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAKUKURU YAIOMBA MAHAKAMA KWENDA GEREZANI KUMHOJI MTUHUMIWA ALIYEISABABISHA SERIKALI HASARA YA BILIONI MBILI
kiungo : TAKUKURU YAIOMBA MAHAKAMA KWENDA GEREZANI KUMHOJI MTUHUMIWA ALIYEISABABISHA SERIKALI HASARA YA BILIONI MBILI

soma pia


TAKUKURU YAIOMBA MAHAKAMA KWENDA GEREZANI KUMHOJI MTUHUMIWA ALIYEISABABISHA SERIKALI HASARA YA BILIONI MBILI

Na Karama Kenyunko, Globu ya Jamii 

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imeiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwenda gerezani kumuhoji mshtakiwa Alloyscious

Mandago katika kesi ya kuisababishia Serikali hasara ya Sh. bilioni mbili inayomkabili yeye na wenzake wanne.

Katika kesi hiyo, mshtakiwa Mandago anashtakiwa pamoja na mfanyabiashara aliyetajwa na Rais John Magufuli kuwa alikuwa akiibia Serikali takriban Sh. Milioni saba kwa dakika, Mohamed Yusufali.

Wakili wa Serikali kutoka Takukuru Leonard Swai Maombi hayo amewasilisha maombi leo, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi wakati kesi hiyo ilipokuja kwa ajili ya kutajwa. 

Wakili Swai alidai, wapo hatua za mwisho za kukamilisha taarifa ili kuwasomea washtakiwa maelezo ya mashahidi(Commital). pia aliiomba mahakama kumuhoji mshtakiwa huyo akiwa gerezani.

Mahakama imeridhia mshtakiwa huyo kuhojiwa na kesi hiyo imeahirishwa hadi Februari 8, mwaka huu itakapikuja kwa ajili ya kutajwa. Mbali na Yusufali na Mandago washtakiwa wengine katika kesi hiyo ni 

Isaack Kasanga, Taherali Sujjauddin Taherali na Mohamed Seif ambapo wanakabiliwa na mashtaka 39 likiwemo la kuisababishia Serikali hasara ya Sh. bilioni mbili. 


Hivyo makala TAKUKURU YAIOMBA MAHAKAMA KWENDA GEREZANI KUMHOJI MTUHUMIWA ALIYEISABABISHA SERIKALI HASARA YA BILIONI MBILI

yaani makala yote TAKUKURU YAIOMBA MAHAKAMA KWENDA GEREZANI KUMHOJI MTUHUMIWA ALIYEISABABISHA SERIKALI HASARA YA BILIONI MBILI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAKUKURU YAIOMBA MAHAKAMA KWENDA GEREZANI KUMHOJI MTUHUMIWA ALIYEISABABISHA SERIKALI HASARA YA BILIONI MBILI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/takukuru-yaiomba-mahakama-kwenda.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TAKUKURU YAIOMBA MAHAKAMA KWENDA GEREZANI KUMHOJI MTUHUMIWA ALIYEISABABISHA SERIKALI HASARA YA BILIONI MBILI"

Post a Comment